5439
JF-Expert Member
- Dec 25, 2025
- 373
- 870
Mtoto wa miaka 6 anakuwa ameshabalehe?.
Ana akili timamu ya kusimamia ndoa?..
Mbona mtume alimuoa Aisha aki
Una fahamu kwanini Yesu hakuoa mpaka amefikia mwisho wakeMtoto wa miaka 6 anakuwa ameshabalehe?.
Ana akili timamu ya kusimamia ndoa?..
Mbona mtume alimuoa Aisha akiwa na miaka 6.
Unajua sababu kuu na unajua kwann? Wafuasi wake wanaoa wakati kiongozi wao hakuoa
Njoo taratibu tuelekezane usije kwa njia ya kashfa.. utafanya watu walaumu akili yangu na siyo mimi