Mtoto wa miaka 6 anakuwa ameshabalehe?.
Ana akili timamu ya kusimamia ndoa?..
Mbona mtume alimuoa Aisha aki
Una fahamu kwanini Yesu hakuoa mpaka amefikia mwisho wakeMtoto wa miaka 6 anakuwa ameshabalehe?.
Ana akili timamu ya kusimamia ndoa?..
Mbona mtume alimuoa Aisha akiwa na miaka 6.
Sio biblia wala quran inayosema kua uzembe na uzurulaji ni kosa kisheri.Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu
Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi
Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa
Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
Quran na Biblia hazijaandika kila kituLeta aya upate 300k ya soda acha taarabu
Kwa akili hizi huna 300,000 ya kumpa mtuMm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu
Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi
Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa
Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
Una fahamu kwanini Yesu hakuoa mpaka amefikia mwisho wake
Unajua sababu kuu na unajua kwann? Wafuasi wake wanaoa wakati kiongozi wao hakuoa
Njoo taratibu tuelekezane usije kwa njia ya kashfa.. utafanya watu walaumu akili yangu na siyo mimi
Umeua kabisaMm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu
Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi
Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa
Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
Usiseme biblia peke yake kwa kigezo ni kitabu cha imani unayoiaminimm sio mtu wa kashfa wal jazba.
sijui kwanini. Naomba niambie
sawa.Usiseme biblia peke yake kwa kigezo ni kitabu cha imani unayoiamini
Jaribu kusoma vitabu tofaut tofaut utajua mengi
Zingatia muktadha ndo maana waafrika tunaonekana waropokaj, hujaelewa mada unachangia tu kama huna kichwaKarne hizi kuna jamaa yupo hapa kutetea ndoa za utotoni!mleta uzi ni mtu hatari sana kwenye jamii....hawa ndio walee wa miaka 8
Enzi zipi?Kuoa mtoto chin miaka 18 nikunajisi heshima sasa nyama mbich unailaje.kama sio uzinguz nin maanak humu tz kunamajaa wanakul mpak mifupa
Nimeelewa mada vizuri tu mleta mada!unataka watoto wa miaka nane waolewe kama sio ubakaji kitu gani?Zingatia muktadha ndo maana waafrika tunaonekana waropokaj, hujaelewa mada unachangia tu kama huna kichwa
Bado hujaelewa mada, soma tenaNimeelewa mada vizuri tu mleta mada!unataka watoto wa miaka nane waolewe kama sio ubakaji kitu gani?
Nimerudia mara tatu mkuu!umeandika kwa kificho ila ndani yake lengo kuu na nia hasa ni kuruhusu kuoa mabinti kuanzia miaka 8.Bado hujaelewa mada, soma tena