Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
-
- #81
Hapana, lengo ni kusema kuwa kwa enzi hizo kuoa wanawake wa 9-12 lilikua jambo la kawaida tu, hio miaka 18 tumejitungia tu kipindi hichiNimerudia mara tatu mkuu!umeandika kwa kificho ila ndani yake lengo kuu na nia hasa ni kuruhusu kuoa mabinti kuanzia miaka 8.
Sababu unatakiwa uendelee kusoma usiangalie vitu juu kwa juusawa.
Kwahiyo sababu ni nini?.
Sababu unatakiwa uendelee kusoma usiangalie vitu juu kwa juu
Soma vitabu vingi zaid uelewe, usiweke uzi wa kashfa na elimu zaid hauna.. tafuta vitabu usome acha kuadithiwa bila kusoma kiundani na ukajifanya unajua
Tafuta vitabu usome, usikurupuke njoo na mada zilizonyooka, mada ina utoto mwingi hiyoMm najua. Ila nilitaka kuona kama ww unajua.
Kumbe haujui.
wap nimeweka uzi wa kashfa?.
Najua hauwez kuchanganya,
Ila rudia tena kusoma hoja yangu alaf na ww usome hoja yako mpya uliyoianzisha. Ambayo hauwez kuitetea kwasababu haujui.
Mm sio mtu wa sifa lakn matumiz yangu tu yakawaida kwa miez miwil ni milion 3Kwa akili hizi huna 300,000 ya kumpa mtu
Tafuta vitabu usome, usikurupuke njoo na mada zilizonyooka, mada ina utoto mwingi hiyo
Nenda kasome vitabu utajua yesu kwann? Hajaoa mpaka anafikia 30+ alaf njoo ukashfu upande wanaoamini wenzakoMm sio mtoa mada.
nimetoa hoja kujibu mada.
Kwenye hili tu imeonyesha dhahiri nani amekurupuka.
Pili, umekurupuka tena kwa mara ya pili kwa kujibu hoja zangu kwa kuanzisha mada mpya ambayo pia hauwez kuitetea zaid ya kusema soma kitabu. ๐๐๐๐
Mtoa mada ana Hoja, alipaswa kujibiwa.
Ila Ww huna hoja wala hauwez kuwa na hoja.
Nenda kasome vitabu utajua yesu kwann? Hajaoa mpaka anafikia 30+ alaf njoo ukashfu upande wanaoamini wenzako
Sio vizuri kusema hapa wazi kuwa yesu alikuwa nan? Mpaka ajaoa kutokana na kulinda heshima za watu wanao amini kristo.. usikashfu upande wanaoamini wenzako
Tafuta vitabu usome pimbi.. wew๐ฎ๐ฎ๐ฎ sawa. Ila weka humo.
Kwa hiyo kwa mwezi 1,500,000 .. halafu uumpe mtu laki 300,000 ubaki na 1โข2 hapana unatupanga!Mm sio mtu wa sifa lakn matumiz yangu tu yakawaida kwa miez miwil ni milion 3
SawaKwa hiyo kwa mwezi 1,500,000 .. halafu uumpe mtu laki 300,000 ubaki na 1โข2 hapana unatupanga!