Sio Kila maumivu ni Hospital mengine ni Pesa tu

Hahahhhhh mkuu kumbe na wewe unapenda bikra
Hahaaa kaka nilipata singo maza wa Tanga huko kichwachangu kilichemka unadhani nahami na hawa mademu walio lika sana, mungu aniepushe inshallah Yani nilijifunza jambo ukipata bikra lia galagala usiiachie.
 
Alikuonaje πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Alidai mzazi mwenzake walie zaa nae watoto wawili, huyo singo maza alinifanya nikisikia demu kesha zalishwa hata kama NAMPENDA SANA namuomna mola aniepushe japo kwa dunia ya sasa ni ngumu sana.

Wazee hawakukosea walipo dai kumuoa singo maza mpaka ulione kaburi la mumewe na uhakikishe ni yeye kwa documents halali🀣
 
Ulianzaje kuvamia mtumbwi wa vibwengo πŸ˜…πŸ˜…
 
Hao mabwege acha wakupe tu hizo ela marundo Kwa marundo ,zawadi ,dinner dates,wakununilie maua ,wakulipie Kodi,bills ,wajaze gas ,wakupeleke saluni ,simu wanunue ,viwanja n.k maana hawana chaku offer zaidi ya pesa
N:B usiwaonee huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…