Daughterrr kazi kwako.....angeweka vigezo vyake hapa,
ngoja nimpe format;
mahali unapoishi ..............................
umri ...............................
dini ..............................
ajira ...............................
maumbile (urefu...............) (uzito..............) (rangi..............)
watoto kama wapo.
ataje na vigezo vya mwanaume anayemtaka kwa muundo huo
kwa namna hiyo ataondoa mkanganyiko.
namtakia utafutaji mwema.
Sawa baba lolalolaKaka mimi nime amua kuwa monk, labda mshamba_hachekwi ππ
Wewe ni Ke ama Me?By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika
Kamanda gani muoga hivi?Trampuuuu amegoma kutoa msaada wa dawa za UKIMWI ujue
Ongea mapema. leta vigezo. watu waanze audition/ interview. CV utapokea PMπJamani π π π mimi nilidhani ntapata mume humu, kama mambo yenyewe ndo haya ππΌππ π π π
Sina pesa za kujitibia ukimwi ππ kwa ilo mkuu hapaKamanda gani muoga hivi?
Mbadala upo, Trump asikusononeshe kiasi hiko,Sina pesa za kujitibia ukimwi ππ kwa ilo mkuu hapa
Kujuana mbaka mlalane??Kwa hiyo kwa hesabu za haraka haraka ulitaka kutufahamisha kijanja kwamba kuna wana JF wanne wanakujua unafananaje ukiwa uch!.
Natania???
Ngoja wajeSababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua hajipendi yaan hatukuendana.
Wote hao ni wa JF.
By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika, uyo yeye anajifanya mpole husband material but anaonekana hajui anataka nn nilimuelewa sana na kumpenda sana ila nimeona hatuendani sijui shida ni distance ama nn
Ila na wengine muache viherehere mtu kashasema anataka mtu wa dar nyi wa mbali mnafata nn? Matokeo yake tunashindwana.
UZI TAYARI.
Kweli, namimi nimemuelewa hivyo.Nilichoona katoa experience yake kwa aliokutana nao
Na akatoa angalizo kwamba yeye anahitaji mwanaume ambaye yupo Dar kama yeye...mahusiano ya mbali hayawezi
Haya ndo maisha ya kizazi "Z"Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua hajipendi yaan hatukuendana.
Wote hao ni wa JF.
By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika, uyo yeye anajifanya mpole husband material but anaonekana hajui anataka nn nilimuelewa sana na kumpenda sana ila nimeona hatuendani sijui shida ni distance ama nn
Ila na wengine muache viherehere mtu kashasema anataka mtu wa dar nyi wa mbali mnafata nn? Matokeo yake tunashindwana.
UZI TAYARI.
Itategemea upo serious kiasi ganiJamani π π π mimi nilidhani ntapata mume humu, kama mambo yenyewe ndo haya ππΌππ π π π
Pole naona unapishana na watu sahihi binafsi sipo ivoSema unajua nini nikwambie kitu kimoja nyinyi mnaotafuta watu online kuna kitu kimoja mnakosea sana, fast of all (ni fast, yes sijakosea) mnataka mambo chap chap yaan unataka unawasiliana na mtu leo kesho muonane wooiii hivi hujui na mimi nna ratiba zangu, simu hazikauki video calls hata muda usio sahihi sasa mboni inakua ni usumbufu ukiambiwa tulia hutaki unalazimisha mambo, like serious tuonane leo kesho nianze taratibu za kukuoa mimi Chizi?
Mana uyu wa mwisho sio mama uyu wa mwishoπWewe ni Ke ama Me?
Sijakuelewa kabisa kulingana na ulivyo andika
Hii pia nshakutana nayo aisee ni kama unalazimishwa vile yaan.Sema unajua nini nikwambie kitu kimoja nyinyi mnaotafuta watu online kuna kitu kimoja mnakosea sana, fast of all (ni fast, yes sijakosea) mnataka mambo chap chap yaan unataka unawasiliana na mtu leo kesho muonane wooiii hivi hujui na mimi nna ratiba zangu, simu hazikauki video calls hata muda usio sahihi sasa mboni inakua ni usumbufu ukiambiwa tulia hutaki unalazimisha mambo, like serious tuonane leo kesho nianze taratibu za kukuoa mimi Chizi?
Unataka mume lini na wa muda gani? Maana kuna mume wa siku, wiki na mwezi wewe unataka mume yupi?Jamani π π π mimi nilidhani ntapata mume humu, kama mambo yenyewe ndo haya ππΌππ π π π
Ntaoneshaje sasa π ili watu wanieleweItategemea upo serious kiasi gani
Unatafuta mume wa siku, wiki au mwezi? Chagua mmojaNtaoneshaje sasa π ili watu wanielewe