Sio kila mwanaume anaenda chooni kujisaidia, wengine kuangalia Salio. Mabinti kuweni makini sana na hizo ofa mtalia

Aunt siku hizi unaandika, ulienda kusoma au ni hivi hivi tu.

Wanaume hawawezi kufanya hivyo, sema wavulana kama wewe ndiyo vijitabia vyenu.
Aunt loh
M haka katabia nimeachaaaaaaa

Tena sioo bar aunt m nilikuwanawakimbia. Lodge ama guest sinza

YAAN tumekubaliana nkakuta mzigoo MZURI zaidi nafanya MAKUBALIANO ya nyongeza akijichanganya tyu natoka na funguo naaga KWENDA choon na mfungia

Nakabidhi funguo KWA receptionist HAPO namwrleza wazi fungua BAADA ya dk 10

Ila tushazeeka sasaa na kutubu tumetubu

wengine lodge za sinza tulikuwa na rb kila sehemu
 
KUNA MMOJA 2020. Alinikuta bar Moja mbezibeach
Yuko na jamaa yake akaniangalia mpaka basi na m namkumbuka..nilimkimbia 2017 MAPAMBANO

.nkajua rb Ile inansbiria nkaita dogo na mzigo MMOJA akanywea lakini nkajua mmh nkicheka anaweza nizalilisha

Huyu alinittesa nilikuwa nae poa gafla ashashika helร  Yangu akasema anataka kulewa kwanza sasa nikaomba antudishie akagoma

Nkamtuma king side WA MAPAMBANO kalete dompo

Doh alichokutana nacho hana HAMU kalewaa fyuuu nkagonga nkago....

Nkaita kijana una hisia malizia HAPO nshafunga dompo Yangu nusu iliyobakia

Nkaenda kwa pochi nkakuta bk 35000 na helร  Yangu humo

Akalipia lodge 10000
Nkachukua 10000 Yangu niliyonunulia dompo

Nkamwachia kijana mpe 15000. Yake dah sinza nilikuwa naiogopa mbaya Toka tukio Hilo Bora nikupeleke gongolambali tukamalizanw
 
๐Ÿ˜‚ Ndio maana mimi mtu hanitoi kijinga kama sina balance yangu, najua wapuuzi wengi sana sikuhizi
 
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Kwani wanawake hawei kwenda chooni kuangalia salio hasa wale wanaooa vijana wavivu wanaotaka kulelewa na mijimama.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ Unawaagizia unawaacha.
Your browser is not able to display this video.
 

Matumizi ya "Xa" yanaelezea Hali yako ya maisha
 
Niwe tu huyo mdada nakuapia tungekatana mapanga huko mtaani
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hii kiboko
 
Niwe tu huyo mdada nakuapia tungekatana mapanga huko mtaani
Nilivyomwona sikuhio nkamkumbuka NKAONA ananiangalia achoki NKAHISI M23 mda wowote analianzisha nkaita makamanda wangu mapema kujilinda
 
Nilivyomwona sikuhio nkamkumbuka NKAONA ananiangalia achoki NKAHISI M23 mda wowote analianzisha nkaita makamanda wangu mapema kujilinda
Nakuhakikishia tungegawana majengo ya serikali
 
Umetoka out na mpenzi wako kijana beba hela ya kutosha umetaka out bas jishughulishe kulipa
 
Mie hii imenikuta juzi tu hapa sema huwaga sitokagi kinyonge nili sort out kiingilio tu 30k nauli 20k nkajikanyaga redbull na maji kama 20k ikantoka wavuvi kemp hapo alafu mhusika anakuja anakuja na bwanaake mwengine dah wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ