Sio kila mwanaume anaenda chooni kujisaidia, wengine kuangalia Salio. Mabinti kuweni makini sana na hizo ofa mtalia

Aunt siku hizi unaandika, ulienda kusoma au ni hivi hivi tu.

Wanaume hawawezi kufanya hivyo, sema wavulana kama wewe ndiyo vijitabia vyenu.
Aunt loh
M haka katabia nimeachaaaaaaa

Tena sioo bar aunt m nilikuwanawakimbia. Lodge ama guest sinza

YAAN tumekubaliana nkakuta mzigoo MZURI zaidi nafanya MAKUBALIANO ya nyongeza akijichanganya tyu natoka na funguo naaga KWENDA choon na mfungia

Nakabidhi funguo KWA receptionist HAPO namwrleza wazi fungua BAADA ya dk 10

Ila tushazeeka sasaa na kutubu tumetubu

wengine lodge za sinza tulikuwa na rb kila sehemu
 
KUNA MMOJA 2020. Alinikuta bar Moja mbezibeach
Yuko na jamaa yake akaniangalia mpaka basi na m namkumbuka..nilimkimbia 2017 MAPAMBANO

.nkajua rb Ile inansbiria nkaita dogo na mzigo MMOJA akanywea lakini nkajua mmh nkicheka anaweza nizalilisha

Huyu alinittesa nilikuwa nae poa gafla ashashika helà Yangu akasema anataka kulewa kwanza sasa nikaomba antudishie akagoma

Nkamtuma king side WA MAPAMBANO kalete dompo

Doh alichokutana nacho hana HAMU kalewaa fyuuu nkagonga nkago....

Nkaita kijana una hisia malizia HAPO nshafunga dompo Yangu nusu iliyobakia

Nkaenda kwa pochi nkakuta bk 35000 na helà Yangu humo

Akalipia lodge 10000
Nkachukua 10000 Yangu niliyonunulia dompo

Nkamwachia kijana mpe 15000. Yake dah sinza nilikuwa naiogopa mbaya Toka tukio Hilo Bora nikupeleke gongolambali tukamalizanw
 
Nakumbuka when I was in my late 20s nilimuita demu akaja na rafiki Yake mmoja na mdogo wake mmoja halafu akawa anawatia wenzake wawili analazimisha waje utadhani yeye ndo analipa hela. You know what bili ikaja kama elfu Tisini na mbili nikamwambia mhudumu akaongeze bia moja moja ile mhudumu kaondoka nikawaambia jamani eeh Mimi nilimuita huyu hapa peke Yake ila mmekuja wengi mmeagiza hovyo hovyo. Mimi sina Hela hiyo kwa hiyo naomba tukimbieni wote tuanze mmoja mmoja, naanza mimi kuondoka na nyie nifuateni
😂 Ndio maana mimi mtu hanitoi kijinga kama sina balance yangu, najua wapuuzi wengi sana sikuhizi
 
Nakumbuka when I was in my late 20s nilimuita demu akaja na rafiki Yake mmoja na mdogo wake mmoja halafu akawa anawatia wenzake wawili analazimisha waje utadhani yeye ndo analipa hela. You know what bili ikaja kama elfu Tisini na mbili nikamwambia mhudumu akaongeze bia moja moja ile mhudumu kaondoka nikawaambia jamani eeh Mimi nilimuita huyu hapa peke Yake ila mmekuja wengi mmeagiza hovyo hovyo. Mimi sina Hela hiyo kwa hiyo naomba tukimbieni wote tuanze mmoja mmoja, naanza mimi kuondoka na nyie nifuateni
🤣 🤣 🤣
 
Hili angalizo tu

Tukiekelea weekend

Mabinti msiwaamini sana wanaume kama MNA la helà hakikisha mnakabeba

Sio kila mwanaume unaemwona anaenda choon anaenda kujisaidia

Wengi tunaendaga kuchungulia Salio lililobaki

Na wengine kama WAKIONA bill kubwaaa wanakula chochoo HAPO kama KUNA mlango WA kutokea karibu na choooo

Nawaambien mtaaibika hali sinnzurii wanaume wakosa mshipa WA AIBU sikuhizi

Jana nimeona mdada yamemkuta ukweli walimngangania ikabidi WA karibu tuchangishane

Kibaya. Tulilipa hadi vinywaji alivyokunywa meanaumeeee

Hii pia ikanikumbusha yaliwahi kunikuta Mwaka 2018 kabar kamoja mikocheni

Natoka kazini kapiga aliekuwa SHEMEJI Yangu huyu aliamua Kunixalilishaa

Washa moto nkafikia hako ka bar...nkamkuta anakunywa na jamaa MMOJA wako PEMBEN akasema n mfanyakazi mwenzie

Wakaniagixia. Bia. Tatu na chakula nkala.....

Gafla NKAONA jamaa anaondoka kabla ya kuishia nkaita mhudumu dada hizi ZANGU nalipa mie niletee bill

SHEMEJI akasema jamaa ANARUDI atalipaaa zoteeee

Saa kumi na Moja mpaka tatu usiku jamaa hapatikan weee NKAMWAMBIA SHEMEJI Yangu nalipa ZANGU

ooh NSAIDIE zotee NKAMWAMBIA SIWEZI we malizana NAOO

Kaja mdada kaleta bili Yangu nalipa hahahaha yao Iko kama 49000. NKASEMA naijua hioo

Akaja manager wee asiondoke mtu mpaka polisi ajee NKAMWAMBIA NAONDOKA na soma hio no ya gari

Nimelipa nilichokula na kunywa
Shemejii anajifanya kulia NSAIDIE NKAMWAMBIA siko na helà ngoja nkacheki CRDB ATM

Kuondoka na mm nkazima simu...baadae nkamhadithia kaka akacheka sana na ukome mteremkoo Toka sikuhio uniiti kijinga

Na huyu n SHEMEJI x kabisa sasa sijui HATA walimalixaje ama aliniset na jamaa yake aliekuwa naee....

Muwe makini na hizi ofa kama huna kitu mfukon na kama mmekutana hamna mda mrefu kukimbiana club na bar imekuwa michezo ya MJINI kwa sasa

MUNGU AWALINDE weekend njema
Kwani wanawake hawei kwenda chooni kuangalia salio hasa wale wanaooa vijana wavivu wanaotaka kulelewa na mijimama.
 
🤣😂🤣😂 Unawaagizia unawaacha.
 
Matumizi ya "Xa" yanaelezea Hali yako ya maisha
 
Aunt loh
M haka katabia nimeachaaaaaaa

Tena sioo bar aunt m nilikuwanawakimbia. Lodge ama guest sinza

YAAN tumekubaliana nkakuta mzigoo MZURI zaidi nafanya MAKUBALIANO ya nyongeza akijichanganya tyu natoka na funguo naaga KWENDA choon na mfungia

Nakabidhi funguo KWA receptionist HAPO namwrleza wazi fungua BAADA ya dk 10

Ila tushazeeka sasaa na kutubu tumetubu

wengine lodge za sinza tulikuwa na rb kila sehemu
Niwe tu huyo mdada nakuapia tungekatana mapanga huko mtaani
 
Nakumbuka when I was in my late 20s nilimuita demu akaja na rafiki Yake mmoja na mdogo wake mmoja halafu akawa anawatia wenzake wawili analazimisha waje utadhani yeye ndo analipa hela. You know what bili ikaja kama elfu Tisini na mbili nikamwambia mhudumu akaongeze bia moja moja ile mhudumu kaondoka nikawaambia jamani eeh Mimi nilimuita huyu hapa peke Yake ila mmekuja wengi mmeagiza hovyo hovyo. Mimi sina Hela hiyo kwa hiyo naomba tukimbieni wote tuanze mmoja mmoja, naanza mimi kuondoka na nyie nifuateni
😂😂😂😂😂😂 Hii kiboko
 
Niwe tu huyo mdada nakuapia tungekatana mapanga huko mtaani
Nilivyomwona sikuhio nkamkumbuka NKAONA ananiangalia achoki NKAHISI M23 mda wowote analianzisha nkaita makamanda wangu mapema kujilinda
 
Nakuhakikishia tungegawana majengo ya serikali
 
Umetoka out na mpenzi wako kijana beba hela ya kutosha umetaka out bas jishughulishe kulipa
 
Hili ni angalizo kuelekea wikendi.

Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio lililobaki. Wengine wakiona bili ni kubwa, wanatafuta njia ya kutokea karibu na choo.

Nawaambia, mtaaibika! Hali si nzuri, wanaume siku hizi hawana mshipa wa aibu. Jana nimeona dada mmoja yamemkuta, walimng’ang’ania hadi tukachangishana kumsadia. Kibaya zaidi, tulilipa hadi vinywaji alivyokunywa maana alitelekezwa!

Hili lilinikumbusha kilichonipata mwaka 2018 kwenye baa moja Mikocheni. Nilipotoka kazini, shemeji yangu wa zamani aliniita nikaungane naye. Nilipofika, nilimkuta anakunywa na jamaa mmoja, akasema ni mfanyakazi mwenzake. Wakaniletea bia tatu na chakula, nikakula.

Ghafla jamaa akaondoka, nikamuita mhudumu niletewe bili yangu, shemeji akasema jamaa anarudi na atalipa zote. Ilipotimu saa tatu usiku, jamaa bado hapatikani. Nikamwambia shemeji yangu nalipa vya kwangu, akaniomba nisaidie zake, nikamwambia siwezi!

Mhudumu alileta bili yangu, nikailipa. Lakini yao ilikuwa shilingi 49,000! Akaja meneja, akasema tusiondoke mpaka polisi waje. Nikamwambia naondoka, na kama kuna tatizo, asome namba ya gari langu.

Nililipa nilichokula na kunywa, kisha nikazima simu. Baadae nikamhadithia kaka yangu, akacheka sana na kuniambia "ukome mteremko!"

Huyu sasa ni shemeji X kabisa! Sijui hata waliishiaje au kama aliniset na jamaa yake aliyekuwa naye.

Muwe makini na hizi ofa! Kama huna kitu mfukoni, jihadhari. Kukimbiana kwenye baa na klabu imekuwa michezo ya mjini kwa sasa. Mungu awalinde, wikendi njema!
Mie hii imenikuta juzi tu hapa sema huwaga sitokagi kinyonge nili sort out kiingilio tu 30k nauli 20k nkajikanyaga redbull na maji kama 20k ikantoka wavuvi kemp hapo alafu mhusika anakuja anakuja na bwanaake mwengine dah wanawake
 
Back
Top Bottom