Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aunt lohAunt siku hizi unaandika, ulienda kusoma au ni hivi hivi tu.
Wanaume hawawezi kufanya hivyo, sema wavulana kama wewe ndiyo vijitabia vyenu.
Mpaka umeisifia umeshaelewa acha fujoMada nzuri, mwandiko mkorogo, hata haueleweki!
😂 Ndio maana mimi mtu hanitoi kijinga kama sina balance yangu, najua wapuuzi wengi sana sikuhiziNakumbuka when I was in my late 20s nilimuita demu akaja na rafiki Yake mmoja na mdogo wake mmoja halafu akawa anawatia wenzake wawili analazimisha waje utadhani yeye ndo analipa hela. You know what bili ikaja kama elfu Tisini na mbili nikamwambia mhudumu akaongeze bia moja moja ile mhudumu kaondoka nikawaambia jamani eeh Mimi nilimuita huyu hapa peke Yake ila mmekuja wengi mmeagiza hovyo hovyo. Mimi sina Hela hiyo kwa hiyo naomba tukimbieni wote tuanze mmoja mmoja, naanza mimi kuondoka na nyie nifuateni
🤣 🤣 🤣Nakumbuka when I was in my late 20s nilimuita demu akaja na rafiki Yake mmoja na mdogo wake mmoja halafu akawa anawatia wenzake wawili analazimisha waje utadhani yeye ndo analipa hela. You know what bili ikaja kama elfu Tisini na mbili nikamwambia mhudumu akaongeze bia moja moja ile mhudumu kaondoka nikawaambia jamani eeh Mimi nilimuita huyu hapa peke Yake ila mmekuja wengi mmeagiza hovyo hovyo. Mimi sina Hela hiyo kwa hiyo naomba tukimbieni wote tuanze mmoja mmoja, naanza mimi kuondoka na nyie nifuateni
Kwani wanawake hawei kwenda chooni kuangalia salio hasa wale wanaooa vijana wavivu wanaotaka kulelewa na mijimama.Hili angalizo tu
Tukiekelea weekend
Mabinti msiwaamini sana wanaume kama MNA la helà hakikisha mnakabeba
Sio kila mwanaume unaemwona anaenda choon anaenda kujisaidia
Wengi tunaendaga kuchungulia Salio lililobaki
Na wengine kama WAKIONA bill kubwaaa wanakula chochoo HAPO kama KUNA mlango WA kutokea karibu na choooo
Nawaambien mtaaibika hali sinnzurii wanaume wakosa mshipa WA AIBU sikuhizi
Jana nimeona mdada yamemkuta ukweli walimngangania ikabidi WA karibu tuchangishane
Kibaya. Tulilipa hadi vinywaji alivyokunywa meanaumeeee
Hii pia ikanikumbusha yaliwahi kunikuta Mwaka 2018 kabar kamoja mikocheni
Natoka kazini kapiga aliekuwa SHEMEJI Yangu huyu aliamua Kunixalilishaa
Washa moto nkafikia hako ka bar...nkamkuta anakunywa na jamaa MMOJA wako PEMBEN akasema n mfanyakazi mwenzie
Wakaniagixia. Bia. Tatu na chakula nkala.....
Gafla NKAONA jamaa anaondoka kabla ya kuishia nkaita mhudumu dada hizi ZANGU nalipa mie niletee bill
SHEMEJI akasema jamaa ANARUDI atalipaaa zoteeee
Saa kumi na Moja mpaka tatu usiku jamaa hapatikan weee NKAMWAMBIA SHEMEJI Yangu nalipa ZANGU
ooh NSAIDIE zotee NKAMWAMBIA SIWEZI we malizana NAOO
Kaja mdada kaleta bili Yangu nalipa hahahaha yao Iko kama 49000. NKASEMA naijua hioo
Akaja manager wee asiondoke mtu mpaka polisi ajee NKAMWAMBIA NAONDOKA na soma hio no ya gari
Nimelipa nilichokula na kunywa
Shemejii anajifanya kulia NSAIDIE NKAMWAMBIA siko na helà ngoja nkacheki CRDB ATM
Kuondoka na mm nkazima simu...baadae nkamhadithia kaka akacheka sana na ukome mteremkoo Toka sikuhio uniiti kijinga
Na huyu n SHEMEJI x kabisa sasa sijui HATA walimalixaje ama aliniset na jamaa yake aliekuwa naee....
Muwe makini na hizi ofa kama huna kitu mfukon na kama mmekutana hamna mda mrefu kukimbiana club na bar imekuwa michezo ya MJINI kwa sasa
MUNGU AWALINDE weekend njema
Hili angalizo tu

Niwe tu huyo mdada nakuapia tungekatana mapanga huko mtaaniAunt loh
M haka katabia nimeachaaaaaaa
Tena sioo bar aunt m nilikuwanawakimbia. Lodge ama guest sinza
YAAN tumekubaliana nkakuta mzigoo MZURI zaidi nafanya MAKUBALIANO ya nyongeza akijichanganya tyu natoka na funguo naaga KWENDA choon na mfungia
Nakabidhi funguo KWA receptionist HAPO namwrleza wazi fungua BAADA ya dk 10
Ila tushazeeka sasaa na kutubu tumetubu
wengine lodge za sinza tulikuwa na rb kila sehemu
😂😂😂😂😂😂 Hii kibokoNakumbuka when I was in my late 20s nilimuita demu akaja na rafiki Yake mmoja na mdogo wake mmoja halafu akawa anawatia wenzake wawili analazimisha waje utadhani yeye ndo analipa hela. You know what bili ikaja kama elfu Tisini na mbili nikamwambia mhudumu akaongeze bia moja moja ile mhudumu kaondoka nikawaambia jamani eeh Mimi nilimuita huyu hapa peke Yake ila mmekuja wengi mmeagiza hovyo hovyo. Mimi sina Hela hiyo kwa hiyo naomba tukimbieni wote tuanze mmoja mmoja, naanza mimi kuondoka na nyie nifuateni
sina mzazi ngumbaru wa kusainiwa chekiNamsainia cheki MZAZI wako kama mshahara mpare mlo WA siku
Katafute elimu iliyopooooo
Nakuhakikishia tungegawana majengo ya serikaliNilivyomwona sikuhio nkamkumbuka NKAONA ananiangalia achoki NKAHISI M23 mda wowote analianzisha nkaita makamanda wangu mapema kujilinda
Inaonesha wewe ni mgeni na pdidy, yaani leo hapa kaandika vizuri sana.Una elimu gani kiasi cha kuandika hovyo namna hii?
😀 msimamizi wa kituo cha kura akiskia hilo jina atashtukaUNATAKA nisipige kura mkuu
Mie hii imenikuta juzi tu hapa sema huwaga sitokagi kinyonge nili sort out kiingilio tu 30k nauli 20k nkajikanyaga redbull na maji kama 20k ikantoka wavuvi kemp hapo alafu mhusika anakuja anakuja na bwanaake mwengine dah wanawakeHili ni angalizo kuelekea wikendi.
Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio lililobaki. Wengine wakiona bili ni kubwa, wanatafuta njia ya kutokea karibu na choo.
Nawaambia, mtaaibika! Hali si nzuri, wanaume siku hizi hawana mshipa wa aibu. Jana nimeona dada mmoja yamemkuta, walimng’ang’ania hadi tukachangishana kumsadia. Kibaya zaidi, tulilipa hadi vinywaji alivyokunywa maana alitelekezwa!
Hili lilinikumbusha kilichonipata mwaka 2018 kwenye baa moja Mikocheni. Nilipotoka kazini, shemeji yangu wa zamani aliniita nikaungane naye. Nilipofika, nilimkuta anakunywa na jamaa mmoja, akasema ni mfanyakazi mwenzake. Wakaniletea bia tatu na chakula, nikakula.
Ghafla jamaa akaondoka, nikamuita mhudumu niletewe bili yangu, shemeji akasema jamaa anarudi na atalipa zote. Ilipotimu saa tatu usiku, jamaa bado hapatikani. Nikamwambia shemeji yangu nalipa vya kwangu, akaniomba nisaidie zake, nikamwambia siwezi!
Mhudumu alileta bili yangu, nikailipa. Lakini yao ilikuwa shilingi 49,000! Akaja meneja, akasema tusiondoke mpaka polisi waje. Nikamwambia naondoka, na kama kuna tatizo, asome namba ya gari langu.
Nililipa nilichokula na kunywa, kisha nikazima simu. Baadae nikamhadithia kaka yangu, akacheka sana na kuniambia "ukome mteremko!"
Huyu sasa ni shemeji X kabisa! Sijui hata waliishiaje au kama aliniset na jamaa yake aliyekuwa naye.
Muwe makini na hizi ofa! Kama huna kitu mfukoni, jihadhari. Kukimbiana kwenye baa na klabu imekuwa michezo ya mjini kwa sasa. Mungu awalinde, wikendi njema!