Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Katika kitabu Cha torati Kuna Aya inasema mkumbuke Sana muumba wako kipindi Cha ujana wako.

Ewe ndugu yangu nakukumbusha kuswali
Wewe swali kivyako hakuna wakili wa kuwaingiza watu mbinguni, njia ni nyembamba kila mtu anapigana kivyake na kuingia ni neema tu kwani hakuna mwenye sifa ya kuingia kwa Free Pass.
 
Wewe swali kivyako hakuna wakili wa kuwaingiza watu mbinguni, njia ni nyembamba kila mtu anapigana kivyake na kuingia ni neema tu kwani hakuna mwenye sifa ya kuingia kwa Free Pass.
Wewe ni mkristo bila shaka utakuwa ni dhehebu la roman catholic. ila ni kuswali ni lazima sio ombi ni amri

lazima mwana wa Adam apate kumswalia mola wake mlezi.
 
Wewe ni mkristo bila shaka utakuwa ni dhehebu la roman catholic. ila ni kuswali ni lazima sio ombi ni amri

lazima mwana wa Adam apate kumswalia mola wake mlezi.
Mbona sasa hamjawapeleka mahakamani wasiosali.
 
Hii kitu inaitwa Adhana huwezi kusikia popote ulaya ambako pia Kuna uislamu. Sijui Africa waislamu hawana saa?
 
Nimekaa Ghent, nimekaa Brussels nilikua nasoma huko mkuu
Miaka gani hiyo mkuu mimi nimeishi north east LONDON kwa miaka saba adhani inaitwa tu vizuri na wazungu wanaiheshimu ni mesafiri paris mbona adhani ipo mkuu.
 
Mimi ni muislam swala tano,lakini hizi kelele za adhana zinanikera.
 
Kama kuku ni alarm tosha kwanini mnatuamsha sasa wengine. Wekeni banda kila msikiti na majogoo mawili ili muwe mnaamshwa na hao kuku[emoji4]
Oyaa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
KUku anawika saa 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…