Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Wewe ndio unafuatilia hizo sauti , mimi hata uwashe mashine ya kusaga nalala chumba hicho hicho .
Una matatizo ya akili ambayo sio kila mtu anayo, binadamu wa kawaida huwa anapenda utulivu muda mwingi hasa usiku hadi asubuhi au akiwa usingizini.
 
LAZIMA UKWELI USEMWE, UISLAMU SIO DINI YA MAIGIZO, UISLAMU NI MFUMO, CHOCHOTE KINAFANYIKA KATIKA UISLAMU BASI NINYI MAKAFIRI MNAPASWA KUTAMBUWA KUWA SIO MAIGIZO, ISIPOKUWA NI AMRI KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU.
BASI KAMTETEE MBUNGE MPINA SI UNATAKA UKWELI
 
Una matatizo ya akili ambayo sio kila mtu anayo, binadamu wa kawaida huwa anapenda utulivu muda mwingi hasa usiku hadi asubuhi au akiwa usingizini.
Utulivu upi unaoutaka wewe Kafiri? Unapaswa kutambuwa kwamba Dunia ni starehe yenye kudanganya, Dunia sio sehemu ya kutafuta utulivu.
 
Mimi ninachojua, mwisho kuamka ni saa 11 alfajiri na kulala ni saa 1 usiku.

Tumeharibu ratiba aliyoweka mwenyezi Mungu.

Kuku anapowika anakuarifu kuwa kumepambazuka amka ukafanye lile linalowezekana na sio kuendelea kulala. Kuku ni alarm thabiti tuliyowekewa na Mungu hata sisi enzi tunasoma ndio ilitujuza kuwa huu ndio muda sahihi wa kwenda shule.
Reasoning ya kijuha,
Mjini kila mtu analala na kuamka kwa ratiba yake, hakuna uniform ya kulala na kuamka.
 
NinaKaa karibu na pub wanapiga mziki kucha ila haiwezi kuniathiri kabisa maana kila mtu ni eneo lake .

Hakuna ushahidi kwamba unakosa usingizi , ni wewe ndio unafuatilia ..
Wewe ndio unafuatilia hizo sauti , mimi hata uwashe mashine ya kusaga nalala chumba hicho hicho .
Unategemea binadamu wote tunafanana Sheikh!! Mkubali tu hiyo adhana yenu inatengeneza noise pollution kwa wasio husika nayo.

Yaani ni sawa tu na hizo kelele za kutoka kwenye hiyo Pub, kelele za wale wanaofanya maombi/mahubiri usiku kwa sauti kubwa ya vipaza sauti, nk.

Hizi zote ni kelele! Ni fujo kwa watu wengine wanaohitaji utulivu kwa wakati huo. Teknolojia imebadilika! Badala ya kuweka vipaza sauti, mnaweza kutumia alarm za kwenye simu/saa zenu.
 
Utulivu upi unaoutaka wewe Kafiri? Unapaswa kutambuwa kwamba Dunia ni starehe yenye kudanganya, Dunia sio sehemu ya kutafuta utulivu.
Hizo porojo zako wapelekee wafia dini wenzako, nchi hii inawahusu hata makafiri na kama wanataka utulivu hapa duniani ni haki yao, wewe endelea kusubiria bikira za peponi na mito ya pombe huko, usisumbue wengine walioamua kuvipata hapa hapa duniani.
 
Unategemea binadamu wote tunafanana Sheikh!! Mkubali tu hiyo adhana yenu inatengeneza noise pollution kwa wasio husika nayo.

Yaani no sawa tu na hizo kelele za kutoka kwenye hiyo Pub, kelele za wale wanaofanya maombi/mahubiri usiku kwa sauti kubwa ya vipaza sauti, nk.

Hizi zote ni kelele! Ni fujo kwa watu wengine wanaohitaji utulivu kwa wakati huo.
KITU AMBACHO HUKIJUWI WEWE KAFIRI NI HIVI, UISLAMU SIO DINI YA MAIGIZO YOTE HAYA YANAYOFANYWA KATIKA UISLAMU NI AMRI AU MAAGIZO KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU, MFUMO WA UISLAMU HAUKO KATIKA KUIGIZA.
 
Hizo porojo zako wapelekee wafia dini wenzako, nchi hii inawahusu hata makafiri na kama wanataka utulivu hapa duniani ni haki yao, wewe endelea kusubiria bikira za peponi na mito ya pombe huko, usisumbue wengine walioamua kuvipata hapa hapa duniani.
HIZI NDIO HOJA ZA MAKAFIRI WALIOKUFULU......................
 
Juzi nilikuwa narudi kwangu mida ya saa12 jioni nimechoka kinyama nakaribia kwangu nakutana na matundubai yamepigwa njia-panda yaani hakuna namna ya kuweza kupita na gari kufika kwangu maana waliweka njia-panda ya njia nne. Aise nilitamani kulia, Sehemu ni uswahilini hakuna sehemu ya kupaki halafu naambiwa shughuli ni hadi alfajiri nilichoka sana.
Dhehebu pekee iliyostarabika ni Wakatoliki huwakuti na mamiziki mikubwa wala makelele yasiyo na sababu wala kuziba njia zinanzotumiwa na watu wengine.
Hata ibada/misa zao huwezi kukitana na makelele. Yaani ni full utulivu. Huwezi kumsikia Padre anatoa mahubiri kwa kubana pua au kukoroma kama chura.
 
Back
Top Bottom