kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,552
- 1,661
HATA NIKIAMKA LAKINI ADHANA LAZIMA ISOMWE, KWANI NDIO MFUMO WA KIISLAMU SISI HATUIGIZI KATIKA HILI.Usipoamshwa huamki??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HATA NIKIAMKA LAKINI ADHANA LAZIMA ISOMWE, KWANI NDIO MFUMO WA KIISLAMU SISI HATUIGIZI KATIKA HILI.Usipoamshwa huamki??
Sawa. Muache kelele basi wakati watu wengine wamepumzika.NDIO NI SAHIHI KUITWA KAFIRI NA WEWE UKIWEMO KATIKA HUO UKAFIRI.
Hakuna kitu kama hicho na hiyo sasa itakuwa sio dini, kuswali au kutokuswali kwa mtu kuna kuhusu nini kwani wewe ndie Mungu anayehukumu watu.Kuswali ni lazima sio hiari ni amri. Amkeni alfajiri ukamsali.
Umesoma comment ya ndugu yako Etrugul?NDIO NI SAHIHI KUITWA KAFIRI NA WEWE UKIWEMO KATIKA HUO UKAFIRI.
UISLAMU HAUONGOZWI NA MFUMO ULIOWEKWA NA WATU, UISLAMU UNAONGOZWA NA MFUMO ULIOWEKWA NA MWENYEZI MUNGU. SISI HATUIGIZI TUNAFANYA NA KUTEKELEZA KILE KILICHO SAHIHI.Hakuna cha amri wala nini! Adhana inasababisha noise pollution. Full stop.
UKISOMA WEWE ALICHOKIANDIKA INATOSHA.Umesoma comment ya ndugu yako Etrugul?
Kesho nakulalamikia weweWee kila siku unalalamika
Mjini hapa...Kesho nakulalamikia wewe
Tatizo ni kukosa mipango miji.Hii nchi ustaarabu ni zero kabisa.
(1)Unakuta sehemu za makazi mtu kajenga li bar lake full makelele
(2) Sehemu za makazi kuna kanisa wanakesha kwa makelele
(3) Sehemu za makazi kuna misikiti kila mara kila siku makelele ya adhana.
Kiasi cha ustaarabu ingekuwa ile siku ya kusali/kuswali (jpili) au ijumaa kwa waislamu hizo siku zikiwa na adhana kwa wingi au miziki kanisani sio mbaya lakini sio tu katikati ya wiki mtu anakesha kanisani kwa sauti kubwa au sio kila siku adhana.
Kelele sio dini. Hamzingatii kuna wagonjwa wapo majumbani wanahitaji utulivu nyinyi ni makelele tu kwa kigezo cha kusali/kuswali. Tustaarabike.Huna dini!!!!!
Sijui ni liislam la wp lile njemba. Ni lipuuzi kweliTHE BIG SHOW unatafutwa huku!
Wazee mnasikia huku? Anakuambia kuna mfululizo wa vipaimara. Vipaimara si mnavijua lakini? Au mwanetu yetu neno "mfululizo" lina maana nyingine kwako.Kuna mfululizo wa kipaimara wanaweka miziki mtaani wala hakuna mtu mwenye time ndio kwanza watoto wanaenda kula .
Eti kelele naona kuna tatizo kwa mtoa mada , kila mtu anapiga kwake kwa lwangwa wake .
Hapa mtaani wanapiga mziki kucha maana kuna pub haswa ijumaa kuamkia jumaosi , na jumamosi usiku .Ukija kuniuliza walipiga ngoma gani wala sikumbuki maana sifuatilii kabisa 😀 😀 😀 .
Kama wakristo wapige au watu wa bara , mimi muislamu wala sina time ya kufuatilia maana ni starehe yao
Ona ulivyokuwa mjinga , vipaimara wanapiga mziki point ni kelele acha kuwa limbukeni .Wazee mnasikia huku? Anakuambia kuna mfululizo wa vipaimara. Vipaimara si mnavijua lakini? Au mwanetu yetu neno "mfululizo" lina maana nyingine kwako.
Unajua wengi wa wanaopinga dini wanatumia kigezo kwamba inawanyima uwezo wa kufikiri. Kwa mfano hapa mada ni kelele za adhana ila unaingizia kipaimara?
Hivi unajua unapotoa reference kelele za kipaimara unakubali pia adhana ni kelele pia?
Ulivyo wa hovyo zaidi unafananisha kelele za club na adhana, unakubali kabisa zote ni kelele.
Au dini imekutia upofu kiasi huelewi ulichoandika?
Niamini mimi kwenye kesi kama hii unachoweza fanya ni kuwahimiza majirani waliokaribu na misikiti kuwa na uvumilivu wa kiimani since adhana haidumu hata dakika mbili.
Nashukuru nipo kwenye dini yangu na nina uwezo wa kusema hiki ni sahihi na hiki sio sahihi. Mungu yupo juu wanadamu wapo chini. Wanadamu hawajawahi kukamilika na ndio wanasimamia dini.
Kwanini kama kuna kitu hakiendi sawa msiseme.
Acha kufuatilia yasiyo kuhusu yatakuumiza , mambo ni mengi hutoweza kuishi na watu ...Na sisi tuanze kukataza watu wasivae nusu uchi barabara kwa vile inatukera , unafikiria kuna maisha hapo?Unategemea binadamu wote tunafanana Sheikh!! Mkubali tu hiyo adhana yenu inatengeneza noise pollution kwa wasio husika nayo.
Yaani ni sawa tu na hizo kelele za kutoka kwenye hiyo Pub, kelele za wale wanaofanya maombi/mahubiri usiku kwa sauti kubwa ya vipaza sauti, nk.
Hizi zote ni kelele! Ni fujo kwa watu wengine wanaohitaji utulivu kwa wakati huo. Teknolojia imebadilika! Badala ya kuweka vipaza sauti, mnaweza kutumia alarm za kwenye simu/saa zenu.
Hakika unajitambua sio hawa wanafuatilia maisha ya watu .Mimi ni mkristo ila sijawahi kukerwa na adhana. Tena hiyo ya asbh inasaidia sana sisi wavivu kuamka. Na kabla ya adhana wanakuwa na mawaidha yao ambapo huwa ni vitisho vitupu kwa watenda dhambi 😄. Wale walokole wanaokesha ndo wanastahili hata kipigo.
Mimi ni mtu mzima siwezi kufuatilia mtu , ngoja ukue kwanza maana bado mdogo sana ..Tatizo ni nyie vijana wanywa pombe na punyeto.Una matatizo ya akili ambayo sio kila mtu anayo, binadamu wa kawaida huwa anapenda utulivu muda mwingi hasa usiku hadi asubuhi au akiwa usingizini.
Hakika majini hayakosagi Salah Al jummah tena tunaambiwa aljinu wanakaa kushoto kwa mumin na kulia wanakaa almalayikaMimi namfahamu huyo Jini.
Ni Jini anayependa sana kuswali,
Ni kama Jini Sharifu anavyopenda sana kusoma Qurani hasa ule mtindo wa kuimbaimba kwa kuziba masikio.
Jini dume anaitwa Furuqum jike anaitwa Faruqum, hoa hawakosi Ibada na wanatumika sana katika mambo ya nguvu za kiroho.