20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Furuqum, jini kijana huyo 🤣🤣. Utakuwa unawaelewa sana hao watuu..Tena wasije kukusikia unalalamika watakutangazia fatwa na hata kukutupia jini furuqum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furuqum, jini kijana huyo 🤣🤣. Utakuwa unawaelewa sana hao watuu..Tena wasije kukusikia unalalamika watakutangazia fatwa na hata kukutupia jini furuqum
Link mbona haifunguki niongeza maarifaFuruqum, jini kijana huyo 🤣🤣. Utakuwa unawaelewa sana hao watuu..
Ipo Jukwaa la Dini, Shuka utaikuta hiyo mada.Link mbona haifunguki niongeza maarifa
Naona halipo jukwaa la dini itakuwa wamelitoaIpo Jukwaa la Dini, Shuka utaikuta hiyo mada.
Pia unaweza shuka YouTube kuna mtu anaitwa SHEIKH OMARY MNYESHANI, Ana nondo za kushiba, akitoa ushuhuda wake
Sawa mtaalamu wa maswala ya makelele.!NinaKaa karibu na pub wanapiga mziki kucha ila haiwezi kuniathiri kabisa maana kila mtu ni eneo lake .
Hakuna ushahidi kwamba unakosa usingizi , ni wewe ndio unafuatilia ..
Adhana haina shida. Kule Arusha niliona masai anamwambia mtu "Yeroo tutaonana ile saa mwislamu akishawika".... 😄Hakika unajitambua sio hawa wanafuatilia maisha ya watu .
Kupigia watu kelele ni ustaarabu?NinaKaa karibu na pub wanapiga mziki kucha ila haiwezi kuniathiri kabisa maana kila mtu ni eneo lake .
Hakuna ushahidi kwamba unakosa usingizi , ni wewe ndio unafuatilia ..
Kumbee? Hata sikua najua hili, khaaaahHiyo speaker wanarekodi kama wauza dawa ya mende yeye muda huo anakuwa kalala kwa bi mdogo kelele mnapigiwa nyinyi.
Karne na karne mlikua manatumia maspika ya mkafiri,aau ni ulimbukeniMnataka kulala mpaka saa ngapi nyie mnatabia za uvivu uvivu .kuamka saa kumi na moja mnaona kero.? Kwa taarifa yenu hiyo adhana ya asubuhi ndio inawafaa hadi wakiristo kuamka na kufanya shughuli Zao. Ni nyie tu wapumbavu ndio mnaona tabu na chuki zenu. Alafu adhana ipo Karne na Karen sijui nyie mlikuja lini mjini mpaka mnaanza kuleta ushamba wenu hapa. Si mrudi kijijin mwenu mkalime huko ambako hamsikii adhana.
Kuwa busy na ishu zako ni muhimu ili kuepusha matatizo.Sawa mtaalamu wa maswala ya makelele.!
Wnapiga nyumbani kwako ? Basi usiwashe sabufa yako ..Waambie dada zako wasitembee uchi na vinguo vifupi sio ustaarabu.Kupigia watu kelele ni ustaarabu?
Ni specialist wa keleleSawa mtaalamu wa maswala ya makelele.!
Nguo fupi za wanawake wewe zinakuathirije??Wnapiga nyumbani kwako ? Basi usiwashe sabufa yako ..Waambie dada zako wasitembee uchi na vinguo vifupi sio ustaarabu.
Tuone kama mjini patakalika , nyote wakuja mtarudi porini kwenu.
Sauti ya adhana wewe ina kuathiri nn ?Nguo fupi za wanawake wewe zinakuathirije??