Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Unauhakikia adhan ni dkk1 we muisharamu,kuna waisharamu wenzako maspika hayao yaliyotengenezwa na makafiri wanayatumi kama sehemu ya kutolea mahubiri yenu ya kishetani.

Kwani waisharamu hamjajua muda wa kuswali mpaka mkumbushwe kila mara kama mazezeta.
Sawa.
 
Hao wajinga , mtu wanapiga mziki wa sabufa ...Mtu wanaenda bar kweny mziki ila adhana tu ndio inamkera.

Ukienda Aiport kuna matangazo kila mda bado wanasema eti inawakera yaani wabongo ni wajinga sana ....Mtu una usingizi mtu anapiga kelele zake huko upo ndani kwako eti usipate usingizi kama sio ujinga ni nn?
Nani kakupa mamlaka ya kuita wabongo wote wajinga ? Umekosea Mkuu
 
Unategemea binadamu wote tunafanana Sheikh!! Mkubali tu hiyo adhana yenu inatengeneza noise pollution kwa wasio husika nayo.

Yaani ni sawa tu na hizo kelele za kutoka kwenye hiyo Pub, kelele za wale wanaofanya maombi/mahubiri usiku kwa sauti kubwa ya vipaza sauti, nk.

Hizi zote ni kelele! Ni fujo kwa watu wengine wanaohitaji utulivu kwa wakati huo. Teknolojia imebadilika! Badala ya kuweka vipaza sauti, mnaweza kutumia alarm za kwenye simu/saa zenu.
Adhana wala siyo tatizo, tatizo ni kuwapigia watu kelele masaa matatu kwa ibada ambayo inakuja kufanyika saa 11 alfajiri tena kwa dakika tano tu, hili ndio tatizo na kero kubwa.
 
Dah kweli kule kipunguni nilienda kwa mshkaji wangu mmoja vyuma vikiamka tu lazima vikatize hapo juu ya paa
Kuna dege la Urusi lilikuwa linakuja zamani lina kelele hatari, sasa kwa hapo kipunguni kama ni alfajiri huwezi kulala lazima uamke.
 
Makanisani wanasema hakikisheni kelele zenu hazitoki nje.

Huku kwingine ndo hivyo tena.

Nchi ngumu.
Spika lenyewe limefungwa nje ya jengo la kanisa juu kule mnarani kengeke linaponing'inia lakini bado mnahimizana sauti isitoke nje!? Basi sawa.
 
Wakati wa adhana ya alfajiri wala si wakati wa kupumzika kwa watu wengi wenye afya zao.Ni wakati wa kujitayarisha kwenda kazini.
Hapa jirani yangu waislamu wapo wengi na dini nyengine wapo.Tunaoswali alfajiri ni wachache.Lakini wengi wanazitumia adhana kuamka kuwahi makazini kwao.Na wengi wanatumia adhana kujihakikishia usalama wa kutoka wakihofia vibaka wakijua wakitoka watakutana na sisi tunaokwenda misikitini.
Sasa ubaya wa adhana uko wapi
Ndio labda waseme;hakuna kizuri kisicho na kasoro!
 
Acha uongo wewe!hiyo kitu inaswihi pale tu muhusika anapowajibika kila muda unapofika. Tunarekodi kaswida lakini sio Adhana.
Usikurupuke kuandika kitu ambacho hujakielewa, hakuna adhana za kurekodi, bali zile porojo tangu saa 9 usiku mpaka saa 11 alfajiri ni recorded na ndizo zinazolalamikiwa.

Adhana ni kitu mnachoweza kuvumilianaz lakini siyo kuleta porojo watu wamelala masaa matatu kwa ibada ya dakika tano tu.
 
Adhana wala siyo tatizo, tatizo ni kuwapigia watu kelele masaa matatu kwa ibada ambayo inakuja kufanyika saa 11 alfajiri tena kwa dakika tano tu, hili ndio tatizo na kero kubwa.
Hii ndio hoja,
Kwanini isiwe adhana pekee?
Na badala yake tuanze kuamshana saa 10 alfajiri?
 
Hivi kuna watu wanapigq kelel kama wakanisani?

Unakuta ndani ya kanisa kuna spika 100, bado vinanda, gitaa.. ngoma, matarumbeta etc..

Tukija kwenye ndoa zao utaona matarumbeta njia nzima.. ila watu wamekaa kimya hakuna malalamiko.

Haya kuhubiri kwao ni kelele mpk mishipa ya mk*ndu inachachamaa, fatilia mawaidha ya kiislam na makelele ya mahubiri ya hawa wajaa laana.

Kila baada ya dk 5 wanaimba mnaita wenyewe MAPAMBIO na KUSIFU..

kitu kdg hata kama mchungaji kaongea pumba mnapiga makofi na vigelegele vya kinafki. Yote hayo makelele.

Ila Adhana tu ya dk 1 imekuw nongwa?
Kila jambo mnaliweka kwenye mzani wa ukristo na uislam.
Mleta uzi anaishi karibu na msikiti na ndo huo unamkera, wewe unaeishi karibu na kanisa kama unakereka ni ruksa kusema pia.

Adhana ya mara moja haikeri ila ile mtu anaongeza maneno kibao, sauti juu halafu kila siku ni kero kubwa.

Kuna kanisa lilishurutishwa kubadili ratiba zake kwa sababu kama hizo, wao saa kumi na mojo alfajiri washaanza kuomba kwa sauti na hapo kuna muda mchungaji ana waumi wawili tu. Ila wamefunga speaker nje hizo kelele zao si mchezo.

Haijalishi ni dini gani zote ni kelele hasa nyakati za asubuhi.
 
Nipo jirani na msikiti,
Kuanzia saa 10 alfajiri,
Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda,
"Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka,
Swala swala,!
Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.."

Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu,
Ni kweli hakuna namna ya kuamshana nyie tu bila kutukera sisi?

Au nchi hii yenu pekee yenu?
Kwani hamuwezi kutegesha alarm mkaamka wenyewe mpaka mpigiwe kelele za kuamshwa kutokea mbali?

Yaani tunatafuta pesa kwa shida,
Usingizi unakuja kwa shida,
Na asubuhi asubuh ukianza kupata usingizi mtamu unaamshwa kwa lazima

Nisameheni sana lakini mnakera walah wabilah!

*****************************
Mojawapo ya comment bora ni hii number #51 kutoka kwa Etrugul bay

Nikiwa muislamu mwenye akili timamu na mawazo huru naweza sema kuna baadhi ya watoa adhana hawako sahihi kabisa

Adhana kama adhana ikitolewa kwa mara moja wala haina shida kabisa lkn shida inakuja kwa watoa adhana kuongea sana na kusahau kuna watu wengine wasio waislamu wamepumzika,,kitendo cha kila mda kusema saa ngapi kinaboa sana,,ukweli usiopingika wanao swali hata adhana moja tu inawatosha kabisa

Kuna ambao wanatoa nasaha basi bora iwe maneno machache lkn wengine wanaongea sana,,hivi kuna lipi jema unalofanya wakati jirani yako anahudhunika au kukosa raha kwa ibada yako wewe?

Tuache mihemko ya dini hapa,,kuna mahala waislamu inabidi tubadilike tufahamu kwamba kila kitu kinapendeza kikifanywa kwa kiasi,,,hata kama wengine wasio waislamu wanapiga makelele lakini haihalalishi nasi tupige kama wao

Tumesisitizwa sana kuwajali majirani,kuwajali ni pamoja na kutowakera mpaka wakatuona ni kero kwao

Narudia tena adhana ni ibada kubwa sana na itaendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia lakini tupunguze maongezi alfajir wakati wengine wamelala na kupumzika
Nyumba hiyo umepanga chumba kimoja, afadhali uhamie Kimara Temboni kwa Kuhani Musa kwenye mikesha ya usiku kucha.😁
 
Back
Top Bottom