Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

Link mbona haifunguki niongeza maarifa
Ipo Jukwaa la Dini, Shuka utaikuta hiyo mada.

Pia unaweza shuka YouTube kuna mtu anaitwa SHEIKH OMARY MNYESHANI, Ana nondo za kushiba, akitoa ushuhuda wake
 
Ipo Jukwaa la Dini, Shuka utaikuta hiyo mada.

Pia unaweza shuka YouTube kuna mtu anaitwa SHEIKH OMARY MNYESHANI, Ana nondo za kushiba, akitoa ushuhuda wake
Naona halipo jukwaa la dini itakuwa wamelitoa
 
NinaKaa karibu na pub wanapiga mziki kucha ila haiwezi kuniathiri kabisa maana kila mtu ni eneo lake .

Hakuna ushahidi kwamba unakosa usingizi , ni wewe ndio unafuatilia ..
Kupigia watu kelele ni ustaarabu?
 
Ujinga tu!! Mnashindwa kuelewa kuwa hata shift makazini ziko tofauti probably muda wako wa kuamka ni muda wa mwingine kulala... eti mnatuamsha, kwani tusipofanya kazi mtatulisha??

Wapiga makelele wote isipokuwa kwa ving'ora vyenye vibali maalumu wanapaswa kukutana na mkuki wa jicho (refer kile kitisho cha mgomo wa wafanyabiashara)

Ombeni sana nisiwe waziri wa wizara husika, mbona mtaniloga sana. πŸ˜€
 
Karne na karne mlikua manatumia maspika ya mkafiri,aau ni ulimbukeni
 
Kupigia watu kelele ni ustaarabu?
Wnapiga nyumbani kwako ? Basi usiwashe sabufa yako ..Waambie dada zako wasitembee uchi na vinguo vifupi sio ustaarabu.

Tuone kama mjini patakalika , nyote wakuja mtarudi porini kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…