Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi.

Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu.

Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi tunapiga Tu as long as Una Sifa za kike na tabia za kike, wanaume halisi hatuhitaji Mwanamke aje kutuongezea Kipato au aje kusaidia kulisha familia, hizo sio Tabia za Watibeli wala Wayebusi.

Sasa kuna kitu kinashangaza, Mwanamke sio mzuri, huna shape na wala sura ya ajabu lakini umepewa heshima kwa kuwa wewe NI Mwanamke faraja ya Mume.

Itakuwaje sasa hata mapenzi hujui, hili nalo unataka kulaumu Mungu aliyekuumba?

Ndio Maana wengine ni single mazas unajiuliza huyu vipi mbona hakuolewa au kukaa na Mume wake? Mbona anatabia nzuri? Kumbe ni Gogo, unalala naye kama umelala na maiti
 
CCM itaendelea kutawala milele kwa akili hizi
 
Mvumilie tu. Kila mwanamke ni mbovu. Nguo zinadanganya mengi. Lakini akivua nguo ukiwa nae ndani na kula mzigo ndo utaona ubovu wao
Hata awe mzuri vipi, ukishakojoa Tu anakuwa wakawaida Sana. Ndio Maana Mimi naweka wote kwenye kapu moja hakuna anayezidi mwenzake kwenye macho yangu
 
Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi.

Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu.

Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi tunapiga Tu as long as Una Sifa za kike na tabia za kike, wanaume halisi hatuhitaji Mwanamke aje kutuongezea Kipato au aje kusaidia kulisha familia, hizo sio Tabia za Watibeli wala Wayebusi.

Sasa kuna kitu kinashangaza, Mwanamke sio mzuri, huna shape na wala sura ya ajabu lakini umepewa heshima kwa kuwa wewe NI Mwanamke faraja ya Mume.

Itakuwaje sasa hata mapenzi hujui, hili nalo unataka kulaumu Mungu aliyekuumba?

Ndio Maana wengine ni single mazas unajiuliza huyu vipi mbona hakuolewa au kukaa na Mume wake? Mbona anatabia nzuri? Kumbe ni Gogo, unalala naye kama umelala na maiti
Kama hana shape , tumieni shape yako.
 
Back
Top Bottom