binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Sasa kwanini ajimalize na we sio mumewe?Sio Mke wangu Mimi sioi watu wasio na 100% Sifa za kike
Shehe ndio yule msingida wako? 😂🙌🏻
Sasa kwanini ajimalize na we sio mumewe?Sio Mke wangu Mimi sioi watu wasio na 100% Sifa za kike
Kwa wanaume ukiwa mzuri you will get away with almost everything.Ila wanaume sijui mna matatizo gani hayo mapenzi mnayotaka sasa ni yale mnachungulia video zenu pendwa na mnataka mtoto wa mtu mstaarabu awafanyie!!???
Kwani akiwa wa kawaida ndio umfanyishe mambo asiyopenda?
Kama hajui mfunze but usimtumie vibaya juu hajui au eti si mzuri.
Na pia kwenye ndoa hatutakula mapenzi na dadaz wengi siku hizi wanatafuta sasampa ndio furaha yao.
Huyo huyo kama ulikuwepo🤣🤣Sasa kwanini ajimalize na we sio mumewe?
Shehe ndio yule msingida wako? 😂🙌🏻
Jongeze Acha maneno mengi, kama umesima vizuri Uzi huu hata kama uwe mzuri vipi huna tofauti na wanawake wengine, Maana tukishakojoa nyote mnakuwa Sawa tuKwa wanaume ukiwa mzuri you will get away with almost everything.
Ukiona sheria sheria ujue mwanaume anakuona mbaya 😂
Kwahiyo tunaoonwa wabaya tufanye mambo mengine mfano tutafute hela, hakuna chenye tutafanya kuwaridhisha hawa jamaa.
Inalalamika nini Mkuu?Kuna hii moja ipo vizuri kila idara ila inapenda kulalamika sana
Usipomjibu sim kwa wakati ni shida. Analalamika dailyInalalamika nini Mkuu?
Lakini kulalamika sometimes sio mbaya unless awe anakuvunjia heshimaUsipomjibu sim kwa wakati ni shida. Analalamika daily
Analalamika sana. Nikiwa kazini akinicheki nisipojibu on time ni shida. Sipendi ile hali ya kupokea tu simu bila hata salamu ni kulalamika tu. Nilimwambia akasema kwa sababu anipenda ila hapana hii tabia.Lakini kulalamika sometimes sio mbaya unless awe anakuvunjia heshima
Hahaha kama analalamika kwa upendo hakuna shida, mi nilijua anakuvunjia heshimaAnalalamika sana. Nikiwa kazini akinicheki nisipojibu on time ni shida. Sipendi ile hali ya kupokea tu simu bila hata salamu ni kulalamika tu. Nilimwambia akasema kwa sababu anipenda ila hapana hii tabia.
Mimi sipendi lawama kila muda wakati anajua ratiba zanguHahaha kama analalamika kwa upendo hakuna shida, mi nilijua anakuvunjia heshima