Ila wanaume sijui mna matatizo gani hayo mapenzi mnayotaka sasa ni yale mnachungulia video zenu pendwa na mnataka mtoto wa mtu mstaarabu awafanyie!!???
Kwani akiwa wa kawaida ndio umfanyishe mambo asiyopenda?
Kama hajui mfunze but usimtumie vibaya juu hajui au eti si mzuri.
Na pia kwenye ndoa hatutakula mapenzi na dadaz wengi siku hizi wanatafuta sasampa ndio furaha yao.