Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

Mkuu katika pitapita zangu nimekutana na mashepu rangi,sijui sura,
Lakini katika wote hao nilikumbana na mmoja TU,
Daa! Kale katoto ni balaa,shughuli anaiweza,sura shepu daah!
Huko ndani ndio usiseme!
Utadhani Kuna heater(hita).
Utakuja kuungua kwa Motor, kitu kinazungusha kama mashine
 
sexual intimacy ni sehemu ndogo ya package ya ndoa,tena kuna wakati utafika na kuna hali itamtokea mmoja wenu itakayowafanya mshindwe kushiriki sex,ikiwemo umri,menapause,disease condition,n.k,kuna kipindi mapenzi yanapungua inabaki companion ,ama kifupi watu hawafungi ndoa kwa ya sex pekee,although sex is sehemu ya package ya ndoa.
 
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Mzee hiyo Kauli ya Hainywi uni🤣🤣
 
Kama hata mikono yako tu inaeza fanya ukojoe sasa hizo sifa za mwanamke za nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…