Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

Kwa wanaume ukiwa mzuri you will get away with almost everything.

Ukiona sheria sheria ujue mwanaume anakuona mbaya πŸ˜‚

Kwahiyo tunaoonwa wabaya tufanye mambo mengine mfano tutafute hela, hakuna chenye tutafanya kuwaridhisha hawa jamaa.
 
Jongeze Acha maneno mengi, kama umesima vizuri Uzi huu hata kama uwe mzuri vipi huna tofauti na wanawake wengine, Maana tukishakojoa nyote mnakuwa Sawa tu
 
Me napendelea hao gogo ndo wazuri hao. Single Maza na kutonyumbulika vina uhusiano upi Mr bush ?
 
Lakini kulalamika sometimes sio mbaya unless awe anakuvunjia heshima
Analalamika sana. Nikiwa kazini akinicheki nisipojibu on time ni shida. Sipendi ile hali ya kupokea tu simu bila hata salamu ni kulalamika tu. Nilimwambia akasema kwa sababu anipenda ila hapana hii tabia.
 
Hahaha kama analalamika kwa upendo hakuna shida, mi nilijua anakuvunjia heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…