Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Kula maisha mzeee hujui uendako usikimbilie kifo, watoto wazur wanazaliwa kila siku na wengi beki hazikabi afu ww unataka kudanja?
 
yap... I'm in recovery mode... kipindi kile nilikuwa kwenye flight mode ✈️ au offline mode 🀣🀣🀣​
We all have problems lakini tumeamua ku stay wisely huku maumivu yapo moyoni. Hakuna Mtu asiye na furaha asilimia zote Mkuu. Enjoy tu haya maisha as long as ni mzima mengine ni majaliwa ya Allah
 
We all have problems lakini tumeamua ku stay wisely huku maumivu yapo moyoni. Hakuna Mtu asiye na furaha asilimia zote Mkuu. Enjoy tu haya maisha as long as ni mzima mengine ni majaliwa ya Allah
kweli kabisa but... bahati mbaya kwa wengine hatuna wa kutusaidia kabisa yani ukikwama ndio kabisaaa...!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…