Sioni umuhimu wa kutafuta au kumiliki hela

Ukija huku shambani, nguvu zako tu ndio zitakupa mazao
 
Karibu sana katika upambanaji.
Kulima na kufuga kuna faida sana, kuliko kupoteza muda mwingi huko mjini kutafuta hela; kumbuka hela sio chakula.
nani kakuambia walioko mjini wanapoteza muda, life system lazima i balance hatuwezi wote kuwa wakulima na hatuwezi wote kuwa wafugaji na vinginevyo, tuna safari ndefu kwa maana huwezi kujustify kwa mtazamo wa upande mmoja
 
Na ukiumwa unaingia bandani au Shamba unachoma Sindano na ukitaka sukari unaingia bandan unachota bado pesa ina umuhimu mkubwa sana hayo mambo ulioyaongea ni selusi ndogo kwenye maisha
 
Bundle la internet na simu janja uliyotumia kuandika na kutuma huku jf umelitoa tu hapo shambani cyo!
Natumia betri za equatioblety ninazotengeneza mimi mwenyewe, zinakamata mtandao muda wote
 
nani kakuambia walioko mjini wanapoteza muda, life system lazima i balance hatuwezi wote kuwa wakulima na hatuwezi wote kuwa wafugaji na vinginevyo, tuna safari ndefu kwa maana huwezi kujustify kwa mtazamo wa upande mmoja
Kukaa kwenu huko mjini, unategemea nani akulimie mahindi? Unga ukipanda bei mnaanza kulalamika
 
Na ukiumwa unaingia bandani au Shamba unachoma Sindano na ukitaka sukari unaingia bandan unachota bado pesa ina umuhimu mkubwa sana hayo mambo ulioyaongea ni selusi ndogo kwenye maisha
Tunatumia magome ya miti na mizizi, na wengi tulioko huku tuna miaka zaidi ya 80.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…