Sioni umuhimu wa kutafuta au kumiliki hela

Leo hii yaani hata akili ya kujua hiyo simu imetoka wapi huna?
Message zinafikaje JF hujui, kuna wenye akili hawako huko shamba ndo wamekufanye leo unabwabwaja humu mitandaoni.
Kuna tofauti ya wewe na hao ng'ombe wewe hujui tuu.
Hitaji lako la kwanza ili uweze kuishi ni nini?
 
Kamdomo
 
Huku magome ya miti na mizizi inatusaidia sana, kuhusu mahitaji mengine, tunabadilishana kitu kwa kitu, na si kitu kwa hela.
Hahahaa bila shaka mkuu nimekusoma... Kwamba unabadilishana tiGO na bando! hahahaa aibu ntaona mie mwenye hela make we siyo shida zako ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…