Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Wanaume wote humu mnaolazimisha kuonekana mna tunza na kujali familia zenu.
Hivi hawa tunaowaona humu mtaani wanakimbia majukumu wanaitwa marioo najua humu jf wamo na ndo wenye midomo sana. Mnaukataa ukweli mnajificha kwenye miamvuli ya kutukana wanawake. Familia ngapi zinalelewa na wamama peke yao? Waume zao wanasema hawana hela na wanaacha kabisa majukumu. Humu wamo ila ndo wa kwanza kuita wanawake masingle mothers. Mbona mna kazi kubwa sana. Yani hamtaki kuambiwa ukweli mnaita watu ni feminist ili kujipa moyo.
Bebeni majukumu yenu ipasavyo hutoskia mwanamke akikuzungumzia. Nani ataka kuwa sawa na mume wake sasa? Ila unarudi nyumbani unakuta mwanaume kalala kuanzia asubuhi hadi jioni anakuomba hela akanywe bia. Kujishughulisha hataki.
We kama unajijua una tabia hizi na unafoka humu mbona pole sana