Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Hawa wanawake wajuaji hata stail yakumgonga anakupangia. ukimwambia kaadog stail anakuona unamambo yakihuni na unamzalilisha
 
Nashukuru madam Kwa kunishirikisha

Ukweli nawaona Sana,lakini naweza sema hofu Yao na machungu Yao huenda imetokana na uzoefu ambao ima wao

Ni hayo Tu!
Mkuu ETUGRUL BEY sijui hata nikupe nini kama zawadi ya utashi ulionao.

Kuanzia leo jua mimi ni shabiki yako namba moja. Yaani ona ulivyoandika maelezo yamenyooka bila matusi wala kashfa na umeeleweka.

Tatizo limeanza pale wanaume walipodhani mwanamke aliesoma atawadharau. Au kuchukua nafasi zao. Narudia, mimi nimeumbwa mwanamke kwanini nijitutumue kuwa mwanaume?? Nafaidika nini.

Sasa shida inapokuja Yaani haturuhusiwi kabisa kutetea tunapokashfiwa, haturuhusiwi kujibu wala kuchangia. Ni matusi kwenda mbele. Inashangaza hakika.

JF ingekua ina wanaume design yako wengi, hizi thread za kejeli zisingekuwepo wala sisi tusiopenda kukashfiwa tusingekua tunaongea. Ila kila kona ni kashfa na tumenyamaza.

Ila nlichoona matusi kwa wanawake yanawapa watu wengi amani.
 
Kitu ninachoona watu wanataka kutenga ufeminism na mafanikio ya Wanawake ,jaman hivi vitu havitengani ni kuku na yai,na ndo maana wanaoleta ufeminism hawaachi kuleta women empowerment.Tukubali tukatae huu ufeminism hauji bure kuna namna mnalingana economically au kakupiga gap, yaan kama wewe mwanaume ndo kilakitu kwake uwo ufeminism huwez uona milele
 
Zamani ilikua Baba akienda, watoto wanasoma kwa shida,biashara zinakufa, maisha yana rudi nyuma n. K..... Tunafanya kazi na kusoma kupambana ili kujaribu kuli fix hilo sio kushindana
Huyu hawezi kukuelewa. Mtazamo wake juu ya wanawake ni asi. Unaweza kubishana nae hadi mwakani anachojua ni kutukana. Anakwambia kwanini ufanye kazi?
 
Just wa imagine "mara ghafla kakuacha! Au lolote limetokea"
Wanataka tufe njaa
 
Zamani ilikua Baba akienda, watoto wanasoma kwa shida,biashara zinakufa, maisha yana rudi nyuma n. K..... Tunafanya kazi na kusoma kupambana ili kujaribu kuli fix hilo sio kushindana
Wewe na wachache mnafanya kazi kufix hilo la kuondokewa na mwanaume (japo kuna njia bora zaidi) ila wengi wanawake mafeminist wanafanya kazi ili "kujikomboa" kuwa sawa na mwanaume "usinibabaishe kama kusoma na mimi nimesoma"

Na ndio kundi kubwa la wanawake hata hapa jf wanawake wengi wanafanya kazi ili kujiamulia watakalo jema au baya, kuweza kuwatawala waume zao (hawa wanaume nao ni wajinga) matokeo ya jeuri ya wanawake hao ndio kukithiri kwa ndoa kuvunjika na ongezeko la masingle moms kwa speed ya mwanga.
 
Nimefurahi kujua nimepata shabiki ambaye ni wewe,karibu Sana.

Binafsi naamini wanawake mna haki ya kujitetea pale inapo bidi kwani nanyi mna nyongo pia.

Kwahiyo endeleeni kutetea kile mnachoamini ni sahihi,natambua baadhi yetu humu ustaarabu ni zero lakini isiwafanye mkate tamaa,endeleeni kupaza sauti mpaka kieleweke

Nawapenda Sana.
 
Big up sana Man
Big up sana Man, niliachana na mtu wangu kwasabu ya maswala kama hayo hayo, kutojiamini
 
Just wa imagine "mara ghafla kakuacha! Au lolote limetokea"
Wanataka tufe njaa
Sasa kwasababu tushayaona ndo tunajaribu kuelewesha na wengine kwamba dunia hii ukimtegemea mwanaume, hata ufanyeje siku ataamua kukuacha na kutafuta mwanamke wa design yake utaenda kutafuta maisha wapi?

Basi uki raise hiyo mada watakwambia kwanini mwanaume akuache lazima ulimkorofisha😂 wanasahau tena wanasema mwanaume kuwa na mwanamke mmoja sio rahisi. So akiamua kwenda kwa huyo mwengine bado kosa ni lako.

Ukiwaeleza ndo unaambulia kuitwa feminist😂 hii dunia hii akili kichwani mwako
 
Hata sisi tunakupenda kwakweli.

Yaani wanaume igeni mfano hapa jamani.
Ubarikiwe mkuu🙏
 
Mi nafikiri hilo lina tegemeana na mentality ya mtu na malezi alio kulia...
Wengine tunaambiwa kabisa tunasoma kujikomboa tu
Kaka haoshi viombo hapiki atalala chumba cha nnje wewe huwezi! Ataruhusiwa kuchelewa kurudi etc.... Na Kujua nafasi zetu sehemu mbali mbali katika jamii
 
Big up sana Man

Big up sana Man, niliachana na mtu wangu kwasabu ya maswala kama hayo hayo, kutojiamini
Mi siwezi kuwa na mtu mwenye inferiority complex jamani.

Yaani kuna raha mwanaume kuwa na amri huku unampenda mkeo. Sasa kuna watu wanachanganya inferiority zao, hasira juu ya wanawake waliosoma plus umaskini, basi anaekoma ni mwanamke anaekutana nae.
 
Gear nzuri sana ya kutafuta mbususu ni kujifanya kuwatetea wanawake ila deep down your bones you know the facts and they are plain clear, I have been there pal.

Keep it up unaweza ukala mashangazi kimasiala.
 
Gear nzuri sana ya kutafuta mbususu ni kujifanya kuwatetea wanawake ila deep down your bones you know the facts and they are plain clear, I have been there pal.

Keep it up unaweza ukala mashangazi kimasiala.
Una shida sana kaka yangu. Hata mwanaume mwenzio anapoongea something positive unamwambia anatafuta kula tunda sijui. Una chuki na wanawake sijui walikufanyia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…