Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Afadhali nawe umeliona hilo pia
Anahitaji msaada wa kisaikolojia. Maana hata wanaume wenzie wanaparamia mada hawajasoma hadi mwisho ila as long as anaeshambuliwa ni mwanamke wanaunga tela bila kujua wanaemsapoti ni kichaa. Wanaume wanaomsapoti huyo unpaid seller na wao hawajasomesha mabinti zao? So mtoto wa kike atabaki nyumbani asubiri tu kuolewa ili asije akampanda kichwani mmewe. Na hivi sijui kubishana namshangaa tu
 
Mi niseme ukwel wanawake hata walioko kwenye ndoa wanapokosea wenyewe hawajui kama wanakosea ,lakin mwanaume akizingua anajua kazingua hata asipokuomba misamaha. lakini wanawake hawajui na ndo maana wanaume ni viongozi ili kuwasaidia kujua kama wanapotea au VP. So wanapokuwa wanaobadilika huwa hata hawatambui,na ndiyo sababu naturally mwanamke hapendi nice guy anataka mwaume mwenye msimamo anayemkemea pale anapokuwa amekosea na siyo kumchekea tu
 
Umeisema katika njia bosa sana mkuu wasipoelewa wanathibitisha ujinga wao.

Mimi siko na petience na ujinga wao ni kuwapa bampa to pamba plain truth makavu live hata manabii wa Mungu walikuwepo wapole kama Daniel na makali kama Saweli.
 
Kwani umesikia kuna malalamiko ya mwanamke yeyeto kukosa matunzo humu .......? We kinembe usie jitambua
 
You sound trash.
 

Kwa maelezo yako haya bado sijaona u feminism wako, bali naona mwanamke anayekataa kuwa ung’ombe.

Mwanamke hafai kuwa ndio ndio, lazima uwe na viji challenge kwenye mipango ya familia, challenge sio pingamizi bali ni kufungua zaidi akili.

Madam ana elimu ya uchumi na ni mtaalam sector kubwa tuu ila nampa nafasi ya kuniweka chini kunipa darasa kwenye kutumianpesa kupata pesa kibiashara ila kweny maamuzi nafanya mimi, ki boss boss, life linaenda.

Amri zinakuwepo ila kuna nyakati vitu vidogo vidogo hata, huoni ni feminism kwake unaona kama team work.

Kama vile ambavyo unamsaidia mwanamke majukum na yeye pia atakusaidia, muhimu kujua as man wakati gani wa kutoa amri na wakati gani wa kusikiliza, nguvu , ubabe haulei familia.

Tyrone KG.
 

Kweli, kuna zile unasikia mtu anasema, mwanamkw akileta nyodo mtie vikwazo kiuchumi, nawazaga naona bado tunasafari ndefu.
 
Mkuu, wanaume design yako kwanini msiwekewe label humu jf tukawatambua tukawa tunawapa salute tu? Sasa mi unadhani hata ningekua madam wako ningetaka kukupa darasa? You already sound smart. Na mimi mtu alie smart namuacha aniongoze.

Wenzio wamekalia matusi ni wana chuki kwa wanawake iliyo wazi na sio siri inawashushia heshima. Mtu anaishia kutukana unajiuliza huyu ameacha mke nyumbani kweli?

Nimependa ulivyosema hata akikushauri you still make decisions, yes sir. I like a decision making man. Mwanamke hata angekua Rais, maaamuzi ya mume bado ni ya mume.

Matured Brothers kama wewe mko wachache kiukweli. Kuna watu hawataki hoja, neno walilokremishwa vijiweni ni feminism. Nahisi kuna udhaifu wanauficha ili kuonesha wao ni bora. Sawa ila wasitukane wanawake wanao toa hoja za kuwaelewesha.

Kiufupi wanachanganya ufeminism na hali ya mwanamke kujitetea. Hakika safari ni ndefu.

Nashukuru kwa utashi wako mkuu.
 
Kweli, kuna zile unasikia mtu anasema, mwanamkw akileta nyodo mtie vikwazo kiuchumi, nawazaga naona bado tunasafari ndefu.
Na ndo wanachopenda. Hivi mkuu, mkeo akisema anaomba akuongezee mifuko ya cement 30 kwenye ujenzi wenu ni feminist? Amekutukana? Mi naamini katika kazi zenu kuna mda mishahara huwa inachelewa au maisha yanayumba. Wife atashindwa kukuita ndani akakwambia Baba najua umekwama chukua kiasi hiki sort mambo yako familia isikwame.

Sasa vijana wanakwambia huyo ni feminist. Wanakwambia kwanini mwanamke afanye kazi wakati yeye kidume yupo. Ikatokea mume amekufa na mke hana kazi ndo balaa linapoanzia.

Anyway muwe mnawashauri na wenzenu kwamba maisha ya sasa ubabe na matusi ni part ya kuficha inferiority flani. Wajiamini kwamba hakuna mwanamke anaetaka kushindana nao.
 
mwanaume hasa vijana wasasa Kama unataka kujinyonga au kuwa chizi mambo yanayo husu maendeleo yako fanya nahuyo unae mwita mkeo. utakuja kufurahi badae.
 
mwanaume hasa vijana wasasa Kama unataka kujinyonga au kuwa chizi mambo yanayo husu maendeleo yako fanya nahuyo unae mwita mkeo. utakuja kufurahi badae.
Si ndo maana mnaenda kushirikiana na michepuko hadi mnazaa nao kwasababu hamtaki wake zenu wajue mienendo yenu. Mkeo unamletea watoto wa nje watatu plus wakwake watatu awalee. Siku unakufa umemwacha mkeo hana kitega uchumi chochote ndugu zako wanakuja kubeba mali wanamwacha na mzigo wako. Wanaume shkamoo
 
Kama unanduguzako wakiume sizani Kama utawashauri mambo yaujenzi au miradi ashirikiane na mkewe namwanamke mwenyewe awe dizaini yako Bibi hakisawa. atapata hasara Mana hio ndoa haitaenda popote nahizo mali watazigawa mwisho wasiku anaanza moja au anajikatia tamaa kabisa.
 
Mkuu,
Mimi nadhani kila mtu ana namna yake ya kuendesha familia yake, humu mitandaoni ni sehemu tu ya kueleimishana lakini sio kila elimu ni ya kuchukua. Kila mtu ana definition ya feminism na kila mtu ana namna yake ya ku-handle situations tofauti ndani ya nyumba yake.

Mfano, nikisema mke wangu akae nyumbani na mimi nitaleta kila kitu na kumlea( which is the right thing), je ninaweza kutengeneza mazingira mazuri ili hata siku nikilala mwezi au miezi sita nisije kuwa kituko kwenye jamii? Ndio maana nikasema kila mtu ana namna yake ya kuendesha familia kutokana na aina ya mke/mume aliyenae.
 
Siku ukilala hiyo miezi sita umejipangaje na ilhali wewe unategemea mshahara tu. Au vibarua. Familia yako utaiendeshaje ukiwa kitandani na ulishamwambia mkeo asijishughulishe na chochote wewe utamuhudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…