Kwa maelezo yako haya bado sijaona u feminism wako, bali naona mwanamke anayekataa kuwa ung’ombe.
Mwanamke hafai kuwa ndio ndio, lazima uwe na viji challenge kwenye mipango ya familia, challenge sio pingamizi bali ni kufungua zaidi akili.
Madam ana elimu ya uchumi na ni mtaalam sector kubwa tuu ila nampa nafasi ya kuniweka chini kunipa darasa kwenye kutumianpesa kupata pesa kibiashara ila kweny maamuzi nafanya mimi, ki boss boss, life linaenda.
Amri zinakuwepo ila kuna nyakati vitu vidogo vidogo hata, huoni ni feminism kwake unaona kama team work.
Kama vile ambavyo unamsaidia mwanamke majukum na yeye pia atakusaidia, muhimu kujua as man wakati gani wa kutoa amri na wakati gani wa kusikiliza, nguvu , ubabe haulei familia.
Tyrone KG.