Mimi nimewaoa tena watatu sasa sjui unamzungumzia nan?Sasa mwanaume mzima anaongelea tako? Seriously? Alafu mnataka muheshimiwe. Mbona wenye matako hamuwaoi mnawatumia kwenye mabaa mnawashindisha guest mnawafanya michepuko ila hamuwaoi. Kila mtu anasema anataka mwenye elimu na uwezo wa kujihudumia. Ndo maana marioo mmejazana kama vindege. Nilichogundua jf ina wapumbavu wengi saana.
Wanaheshimiwa wanawake sio ma jike dumeMwanaume anaeheshimu wanawake ndo anatukana hivi? Tabia mbovu nyie ndo wanyanyasaji wakubwa
Mihemko na ubabe ni alama kuu ya inferiority. Yani kuna watu wamezidi kujidharaulisha.Kwenye huu uzi, kwa mtu mwenye akili tulivu atatoka kajifunza vingi sana especially akiweka kando mihemuko ya kihisia na akachambua facts.
Tatizo ni kwamba we men are very emotional creatures than we care to admit which unfortunately often clouds our judgment.
Ukitaka kuthibitisha hilo pitia comments. Nyingi ziko na emotional outbursts kuliko hoja za msingi.
unashida sio kidogoKila mwanaume humu jf kaoa wake watatu, wote amewajengea, na wote hawafanyi kazi yeye ndo anaewalisha na watoto wao🤣🤣🤣🤣 sasa hawa marioo huku mtaani ni waume wa wanawake gani? Watu wanaishi kwenye dunia ya hallucinations, dunia ya kufikirika na watu wana fantasies kuliko hata teenage school girls.
Usawa huu wa mchele kilo 3500🤣 ukija na hoja kwamba umewajengea wake zako watatu kila mtu na kwake na unawahudumia hadi hela ya chumvi uje ma uthibitisho msituletee ujinga.
THE MOMENT YOU TRY SO HARD TO PROVE THAT YOU’RE A STRONG MAN, THAT’S WHEN IT’S UNCOVERED THAT YOU ARE HIDING A CERTAIN INFERIORITY.
Kiufupi wanaume wengi humu waliokua wanacomment kwa mihemko wameonyesha highest level of immaturity. Na bado wanataka kuheshimiwa. Nani kasema? Huwezi kumtukana mwanamke akakaa kimya eti kwasababu ni mwanamke. Inamaana sisi ni wajinga kiasi hicho? Wawatukane wake zao huo sio humu mitandaoni.Mi naona kila pande ina kitu cha muhimu cha kunote na kukichukua na kama utakichukua in a positive way..sema uwasilishwaji wake umeingiwa na jazba...ubabe...matusi na kutotaka kushindwa kwa pande zotee..so no concensus inapelekea hoja nzuri kuonekana rubbish.
Mbona kama umeguswa mkuu😂😂😂unashida sio kidogo
Kwani yeye peke yake ndo alisema ameoa wake wengi mbona kujishuku.Mbona kama umeguswa mkuu😂😂😂
Kama halikuhusu we pita pembeni
Utakuja kuniua kwa kucheka🤣🤣🤣Kwani yeye peke yake ndo alisema ameoa wake wengi mbona kujishuku.
Waliooa wake wengi na kuwahudumia saizi wanafungasha vidumu vya mafuta waanze kusambaza kwenye vijumba vya wake zao. Hawapo mtandaoni
Mi nina principal moja akuanzaye mmalizie...Kiufupi wanaume wengi humu waliokua wanacomment kwa mihemko wameonyesha highest level of immaturity. Na bado wanataka kuheshimiwa. Nani kasema? Huwezi kumtukana mwanamke akakaa kimya eti kwasababu ni mwanamke. Inamaana sisi ni wajinga kiasi hicho? Wawatukane wake zao huo sio humu mitandaoni.
Mtu anitukane nimwache kisa nini. Na wanaume wanataka hata tukitukanwa tuendelee ku bow. Ukijibu basi wewe ni feminist. Kama mataaira yani. Ndo maana wengine unakuta wanapigwa na wake zao kumbe akili ndendembe. MimiMi nina principal moja akuanzaye mmalizie...
Nazungumzia hapa kila mmoja ana hoja nzuri kabisa na zinge meet somewhere na kuleta logic..sasa naona mihemuko imezidi.ila ni kweli kama mtu anakutukana utaachaje sasa tuu
Naaam Naam[emoji16][emoji16][emoji16][emoji122]Vijana hawajiamini,wana maumivu sana. Mwisho wanageuka mahaters na kujificha kwenye "uanaume".
Idadi ya watu unamaanisha kuzaa?[emoji16][emoji16]Mimi mwanamke kama ni mpambanaji hata akiwa kawa mwanaume au akidai haki sawa kwangu naona ni sawa tu
Ila nachukia kuona hivi ambavyo havina chochote,havina mchango wowote katika familia zaidi ya kuongeza idadi ya watu tu,unakuta nako kanajimwambafai na kudai haki sawa
Nilikua nakuona una akili kumbe na wewe wale waleYou sound like one manipulative pussy bitchass 😂