Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Hii jamii tuliyopo wanawake mnatakiwa mkae kimya. Hata mtukanwe vipi msinyanyue midomo kuteteana. Ukiongea tayari ni adui. Ila nilichogundua people need to heal, wameumizwa sana na wanawake wa aina flani.
Nope, its you who seems to be healed not them
 
Unapaswa kuwa na hekima sana kwenye dunia hii.
 
Huyu hapa kaja, mi simo📌
 
Wanawake wa hivyo ni wajuaji kinoma, dawa akiingia kwenye 18 unapiga kipigo cha hela yote akashitaki anapojua ila tu umfanye wakati mwingine ajue kujua tofauti.
 
Kuna mdada aliniletea pigo hizo kwenye kampuni moja niliyoajiriwa zamani nikamfuata sikuongea chochote nilimpiga kofi moja akalala kwenye meza nikafukuzwa kazi.
 
Upo nje ya mada jikite kwenye mada
 
Yaani brooo umenene vyema na mungu wa mbinguni akubariki na ndivyo ilivyo toka vizazi na vizazi sio hao wajinga wanaoj8weka upande wa utandawazi wa kipumbavu mi mwenyewe huwa nawaona kama wa2 wanaodandia waschokijua tangu lini mwanamke na mwanaume wakawa sawa 😩😩😩
 
Sio kweli
 
ukweli niupi
Ukweli ni kwamba sio masingo Maza wote wamesoma,wapo watu wamesoma na wanawaheshimu waume zao vizuri TU,lkn pia wapo wanawake wa la Saba lkn wanawapelekesha waume zao kinoma yani,on the other hand si kweli kuwa watoto wa masingo Maza ni mashiga anaweza akawa na wazazi wote wawili na akawa shoga pia
 
ndio man ndio mana nikasema wengi Bali sio wote
 
Tupa kule mafenism hawana maana
 
Sista, majibu yako mengi umeyadirect kwa wazazi, acha. Mnaongea na kulumbana nyie, kutukaniana wazazi sio hekima wala busara kabisaa. Acha, mamana baba yake ni mama na baba yake pia mama yako na baba yako ni mama na baba yako. Busara itumike
 
Mbwa mama ako na baba ako shindwa na ulegee nyoko
Yaani kwanini mnakimbilia kitukans wazazi! Nahii naona wanawake mmeishupalia sana. Mnajua kuwa wote mliotukanana mnajidharirisha simwanaume wala mwanamke ila kwanini wazazi sasa?
 
Sista, majibu yako mengi umeyadirect kwa wazazi, acha. Mnaongea na kulumbana nyie, kutukaniana wazazi sio hekima wala busara kabisaa. Acha, mamana baba yake ni mama na baba yake pia mama yako na baba yako ni mama na baba yako. Busara itumike
Ina maana wewe huoni wanaume wenzio wanavyotukana viungo vya uzazi vya mama zetu? Au kwa kuwa ni wanaume wana haki na wajibu wa kututukania wazazi? Double standard hizo ndo zinazopeleka watu kudharau uwezo wa kufikiri wa hao hawaoilazimisha sana heshima. Respect ni two way.
 
Unapenda sana argument sijajua kwanini? Umeona kosa ulilolifanya ambalo unawalaumu wenzako na kutukanana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…