Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Kumbe ndio ipo hivyo, wengine wananunua tu
Ndio ilivyo Mkuu. Kama mie ako ninakopaka ni kakopo kadogo ila kanauzwa Tsh 35000/= ila ndio nakapaka zaidi ya miezi mitatu maana napaka kidogo mnooo na haibadili muinekano zaidi ya kung'arisha.



Kama ako japo sio aina hiyo. Ni mfano tu wa ako kakopo ukubwa wake.
 

umetoa ushauri 'kuntuu'my dear!sio mamekup ya 10000/ lazima uwe mbagla rang 3!Kifupi ushauri wako kwa wanawake UMEDAMSHI
 
Aiseee wengine tunapakaga ronya za elfu 5 ndo mana tunakua mbagala rangi tatu
 
Ngoa nifunge mkanda sawa sawa, maana hali si shwari kwenye kupendezesha mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwani hujaanza tu bado kumnunulia moneytalk?
 
Aiseee wengine tunapakaga ronya za elfu 5 ndo mana tunakua mbagala rangi tatu
Nasikiaga wanasema na nzuri zipo pia mdogo wangu. Hiyo rangi tatu inaletwa na kama sie wa rangi ya kawaida kupaka ya mtu mweupe mara mweusi ila ikiwa ya rangi yako wala hizo rangi tatu haziwezi kuwepo mdogo wangu.

Nawekaga hela yangu kabisaaa maana nikikanunua ako nakaa nacho mpaka nasahahu na maumivu ya hiyo hela hata siyapati.
 
Ndioooo[emoji23] [emoji23]
Hatuachi
Kikubwa tu kama usiku ulikuwa kidot, asubuhi uwe hivyo hivyo.

Sio kwamba wa usiku ni tofauti na wa asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo jamaa naye ni kiboko.

Hivyo alisahau hata taulo alilovaa huyo Dada. πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Kweli dada lakin bora hizo za bei ghali unakua na uhakika...kizuri gharama

Hizi za elfu 5,10...nyingi fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…