Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

πŸ˜…πŸ˜… tajiri hatuna haja kuona salary slip, yeye agawe pesaaa humu kwa maskini .. aache maneno na ku post post tupichaaa agawe hata $ 100 kwa member kama 20 hivi tumvishe manyotaaa yake
Ewaaaaahh 😹😹😹
venchwa fanyia kazi ushauri huu..!!
Kwa level yako hutakiwi kujibu tumwagie pesa machawa tuongee kwa niaba yako..!!

Unafeli wapi tajiriiii 😹😹😹
 
Ewaaaaahh 😹😹😹
venchwa fanyia kazi ushauri huu..!!
Kwa level yako hutakiwi kujibu tumwagie pesa machawa tuongee kwa niaba yako..!!

Unafeli wapi tajiriiii 😹😹😹
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… aje atuambie initial za mmbunge lia alie mpasua kama hana mpango wa kumwaga helaaa sie hata hilo litatoshaaa
 
Rozana kipindi natoka Kibaha high school miaka Hiyo naenda buguruni nikiwa ndo nimetoka usukumaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nilipofika buguruni nikakuta demu mmoja ndo Mara ya kwanza kula kimvusa! Ukawa mchezo kila weekend na drop buguruni
Mi kitambo tu niko mitaa hiyo naskiliza mabolingo na kuchezea nyuchi tu.
Kwa Macheni ndo ilikua kijiweni.
Walifunga kwa muda na member wote tukapelekwa rozzana aisee kulikua na vitoto usiombe.
Nilichapa kimoja mpaka kikagoma kutoka mle chumbani.
Dah mama watoto alikua na mimba nimerudi home na ndomu wenge kibao.
Mungu atusamehe tu aisee
 
Haha hahah hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…