Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Nawapaje madume wanaotumia majina ya kike 😀bora mtu aje aseme Naitwa rashidi niweke katika schedule yako 🤓
Kumbe target yako wanawake?
Ko baada ya hapo unataka malipo? 😹😹

Hapo sasa huwapi bali unataka kufanya biashara ya ngono..!!

Mi nataka umwage pesa ili kuziba maneno ya wanaokuona unatafuta attention kwa mademu..!!
 
Kumbe target yako wanawake?
Ko baada ya hapo unataka malipo? 😹😹

Hapo sasa huwapi bali unataka kufanya biashara ya ngono..!!

Mi nataka umwage pesa ili kuziba maneno ya wanaokuona unatafuta attention kwa mademu..!!
Sipo hapa kumwaminisha mtu kwa kumpa yeye noo ni zangu ntawapa wangapi sasa ?

Hata ukiwapa haiprove kitu bado watasema ni OD zako nyingine zinapokea Pesa unajitumia Tena


Tatu usalama wangu wa kutotaja jIna langu ! Naweza kuwa nimewahi comment sehemu vibaya nikimtumia mtu pesa ataona imetoka kwa nan!

Najiridhisha kutafta njia sahihi ya kutuma anonymously
 
The bosslady 🔥🔥
Da P naomba mchongo basi..!!
Mi bahili wa visent vyangu ila nataka battle ya kuharibh pesa na huyu msukuma.
Man to woman.😃
Siku anagawa pesa nishtue.
Nitalipa mara 3 ya dola zake alogawa kwa pesa ya madafu.
Na sihitaji kujiandaa hadi Dec, hata sasa niko ready🙏
 
Ila kutoa povu kwenye nyuzi zake unaweza?
Hakuna povu hapo, kaka kulikia na haja gani kutukana watu ambao hawaja kutukana? Pesa ndo zinawafanya muishi hivo? Huoni Kuna watu watakudharau? Kuna jamaa yangu alikua anamtetea mchizi Mmoja wa forex, kumbe kalenga nae apate posho dollars, kilicho kuja kutolea ni aibu, naye alionekana tapeli tu, hapa ni fake ods bro usijimwage sana Kwa hawa watu, mtu anae tukana bila sababu za msingi, ili tu aonekane taita, be care bro kumbukumbu Huwa hazifutiki Kwa wote
 
Back
Top Bottom