Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Hawa wa "vilaki kwa mwezi" huku nyumbani ndio wanaombwa kuchanga fedha ili mwili wa marehemu diaspora urudishwe nyumbani.
Siwezi changisha mtu yaan ni kwasababu tu mengine hatuweki hapa na mtu asiniige atapasuka msamba

Nika kitita cha kutosha
 
Pesa ya kawaida, na unaweza ukafanya vitu vya kawaida tu. Nimekuwa napata take home (after tax $6300) for last 5 yrs mutokea Feb 10 2021, lakini wala sioni cha maana nimefanya zaidi ya kuumia na Mortage ya about 500k$ na school fees za watoto. Maisha sioni kama ni mazuri.

Only salary is nothing, ila inategemea na mipango na furaha za mtu binafsi, but si pesa.
Mtu yeyote ambaye yuko smart upstairs na mwenye future lazima ataumiza kichwa kwenye hii michanganuo nakuelewa vizuri mkuu.
 
Ila kutoa povu kwenye nyuzi zake unaweza?
Bongo raha sana kina alikuwa ananikandia sana kwamba niko mbagala 😀 simuoni kwenye nyuzi zangu tena 😀😀😀
 
Hayo ni matatizo ya "Status Anxiety".

Hutokea sana kwa watu ambao ndiyo kwanza wameanza kushika pesa.

Wafaransa wanawaita "Nouveau Riche". Haya ni maneno ya dharau kusema huyu ni mtu mshamba ambaye kaanza kushika pesa karibuni bado zinamzuzua, hajazizoea na kuziona kitu cha kawaida.

Johnny Come Lately. Kaja na mbio za mwenge.

Kwa watu wengi wanaojitambua na waliozikuta pesa kwao tangu wanazaliwa, wanakuwa mpaka wanasahau kuwa pesa ni kitu muhimu, kwa sababu zipo tu.

Wanatambua kuna vitu muhimu zaidi ya pesa.

Mahusiano, heshima, legacy, kutambulika.

Kuna binamu yangu mmoja alikuwa anasema matatizo ya kweli hayamalizwi kwa pesa, kinachomalizwa kwa pesa ni gharama tu, si tatizo la kweli.

Mfano, tatizo la gharama ni kukosa pesa za kukutibu ugonjwa. Tatizo la kweli lililopita gharama ni kuwa na ugonjwa usio na dawa wala kinga.

Ndiyo maana unaweza kuwa na pesa ukashindwa kuingia club ya members only, kwa sababu hapo kinachohitajika kuingia si pesa, ni membership.

Au unaweza kuwa na pesa, halafu usisikilizwe, akasikilizwa mzee mmoja tu ambaye hana pesa kama wewe ila anajulikana na kukubalika.

Muna sehemu nyingine oesa is the bare minimum metric.
Wewe jamaa una madini sana.
Kuna kipindi fulani hivi wakati nipo kijana mdogo na niko na pesa halafu hazina matumizi mengi maana nilikuwa sijaoa bado.
Basi kuna kitu kilikuwa kinaniumiza kichwa sana na kujiuliza maswali mengi sana ila swali moja ambalo lilijirudia sana kichwani kwangu ni hili hapa"kwa nini niko na pesa halafu siheshimiki halafu naona kuna watu wanaheshimika sana mtaani kwangu kisa ni mjumbe wa nyumba 10 au mwenyekiti wa mtaa".
Hiki kitu kilinijenga na baadae ilinibidi tu nijifunze kuwa mpole hata kama niko na pesa mfukoni au lah
 
Back
Top Bottom