Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Back then 2009 - 2012 mdau alikuwa analipwa 4500 bongo hii tena sekta binafsi kampuni ndogo tu.
Bado alikuwa analipwa 25% ya malipo ambayo kampuni yake inalipwa na mteja wao endapo akifanya kazi ya consultancy kwenda nje ya ofisi.
Unaweza kukuta hiyo 25% inafika $12,000 hadi $15,000. Hiyo nje ya mshahara wa $4500 kwa mwezi.
Mimi binafsi nilikuwa naenda kupiga kazi hapo kampuni kwa part time 3 times per week masaa 6-8 kisha mwisho wa mwezi nakunja $1000 enzi hizo. Hizo take home hazina makato.
Hiyo 4500$ ni baada ya kila kitu
Free housing
Free transport
Free meal
Alafu extra payment ni 35$ per hour kama nimezidi masaa ya kazi

In total I can make 7000$ per month, na Hiyo natnzaga sigusi joh
 
Safi kula maisha kijana.
Maisha ndiyo haya haya hakuna mengine.
Mafupi sana.
Piga mbususu kwa kwenda mbele hadi ukikutana na mwanamke anajisikia kukutunuku bila kumuomba. Anavutiwa na harufu ya mbususu iliyo kukamata mwilini.
 
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia

Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu

Note that sifanyi Starehe kwamba sina akina ipo Tena in large amount! 700M+

Kataa kubali ni wewe
Ukistaafu hakikisha uko self sufficient kiasi cha kutomsumbua mtu kwenye circle yako. Kama umenunua Range Rover au any western vehicle manufactured nyuma ya mwaka 2020 iuze sababu utatusumbua uzeeni na hayo mapato yako makubwa si kitu si lolote. Pia, kama hujainvest futa hii sledi. Wakatabahu
 
We unaumwa nenda katibiwe
 
Wao ndo wananitegemea Mimi circle nzima yetu

Nimewekeza katika Ardhi na mashamba! Pili nimenunua hisa kampuni moja (Taasisi ya Kifedha) hapo bongo zenye thamani isiyopungua 250,000$
 
Tajiriii limewakaa maji ya gold awwww 😹😹😹

Ila hii series isiishe naomba endeleza episode zingine puliiizzz

Njoo na uzi mwingine wa diss tuone mapovu..!! 😹😹😹
Subiri kwanza nafanya evening walk leo sijaenda gym
 
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia

Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu

Note that sifanyi Starehe kwamba sina akiba ipo Tena in large amount! 700M+

Kataa kubali ni wewe
4500$ kwa bongo yeah, kwa wenzetu is more like a minimum wage
 
Back
Top Bottom