Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Pesa ya kawaida, na unaweza ukafanya vitu vya kawaida tu. Nimekuwa napata take home (after tax $6300) for last 5 yrs mutokea Feb 10 2021, lakini wala sioni cha maana nimefanya zaidi ya kuumia na Mortage ya about 500k$ na school fees za watoto. Maisha sioni kama ni mazuri.

Only salary is nothing, ila inategemea na mipango na furaha za mtu binafsi, but si pesa.
 
Kuna vitu fulani ukikosa hata ukiwa na pesa tunakuona mburula mshamba tu.

Ukikosa class, refinement, savoir faire, culture, style, unaweza kuwa na fedha nyingi tukakucheka kama Floyd Mayweather.

Kwa sababu unakuwa mshamba bado.

"A lotta niggas is thousandaires (word)
Walking 'round town frontin' like they got mills (haha)
For what it's worth I'm one myself
But my strength in the hood outruns my wealth (yeah)"

-Jadakiss "Kiss of Death"

View: https://youtu.be/mcxjRe4-cbc?is=p_-GRjFhujc4Wmxy
 
Nakubari mkuu
 
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia

Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu

Kataa kubali ni wewe
Kaka,kazi gani hii?
Uwe unaweka links tuombe na sisi
 
Back
Top Bottom