Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

We hujona hako kachina kidogo kamtoboe jicho kwa kidole eti?
Naona ule uzi kule mods washafagia naona wameamka sasa, hako kachina sijui kaphilipino nimekaona ila sio vitu vyangu vitu vyangu najua unavijua hahaha ni zile ambazo zikifika km hapo alipo zinaagiza siti mbili maana siti moja haziwezi kukaa
 
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia

Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu


Kataa kubali ni wewe
Mkuu,

Hiyo mbona ni pesa anayolipwa mtu asiye na kazi katika "Unemployment Benefit" tu ?

Halafu ukiringa kwa mshahara ma Trust Fund Babies watasemaje?
 
Back
Top Bottom