Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 8,072
- 8,942
What is 12 mil wakati kuna 45 mil?Kuna watu ******* wanalipwa 2M za bongo wanajilinganisha na Mimi/
What is 12 mil wakati kuna 45 mil?Kuna watu ******* wanalipwa 2M za bongo wanajilinganisha na Mimi/
😃😃😃
Ndio uwaite *******!? DahKuna watu ******* wanalipwa 2M za bongo wanajilinganisha na Mimi
Prida wewe una monthly income ya shingapi mkuu?😃😃😃
Huna pesa homeboy rudi bongo tukupe michongo ya pesa what the fvck is 12M per a whole big long fvckng month?
Muite P didy tu watatoshana.Le mutuz tungemsakizia tatizo hayupoMwanangu umefungua uzi mwingine tena? Hahaha ngoja nimuite Chizi Maarifa
Safi kijana ongeza ongeza juhudi upande zaidi na hongera kwa kufika hapo ulipoNashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu
Kataa kubali ni wewe