Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😘😘😍Mi bahili wa visent vyangu ila nataka battle ya kuharibh pesa na huyu msukuma.
Man to woman.😃
Siku anagawa pesa nishtue.
Nitalipa mara 3 ya dola zake alogawa kwa pesa ya madafu.
Na sihitaji kujiandaa hadi Dec, hata sasa niko ready🙏
Dadaake huyoooo..!!
venchwa anzisha battle mi nna shida na pesa..!!
Weka stake kubwa ili dada P alipe mara 3
Mfano nitumie dollar 1000 na dada P atume 3000$ 😜
Haya kiburi mwenzie jeuri mwaga midollar hiyo ushapata mpinzani tena mwanamke..!!
Usikubali mwanamke akudharau tajiriii