Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 983
😅😅😅 Hao wadada wa Jf ambao ni wabunge anawala tu Venchwaaa na akikasirika atamwaga ushahidiAahh wapi Venchwa katupanga 😹😹
😅😅😅 Hao wadada wa Jf ambao ni wabunge anawala tu Venchwaaa na akikasirika atamwaga ushahidiAahh wapi Venchwa katupanga 😹😹
😹😹😹😹 Mbona wewooo😁😁 na kuna watu wamepangikaaa na itakuwa wabunge wa Jf wana mlilia tu huko konaaaa .. hadi wanatambaaa
Atakuwa mdogo wa kiduku 😁😁Kuna huyu alikuwa anaitwa @kidukulilo🤣🤣🤣 raia wa jf wakamfatilia kumbe ni fundi gereji🤣, akakimbia na jf🤣🤣🤣🤣,
Mwamba alikuwa anachamba yule🙌
😹😹😹 Anitumie moja tu mimi kama kweli..!!😅😅😅 hivi ndio kasema ana kama 700 millions eeeh ipo inazagaaa zagaaaa tuu
😹😹😹😹 Amwageeeee😅😅😅 Hao wadada wa Jf ambao ni wabunge anawala tu Venchwaaa na akikasirika atamwaga ushahidi
😅😅😅 Venchwa hana kazi mbovu,😹😹😹😹 Mbona wewooo
😁😁 sema kazidisha maneno na michambo hata mie napata mashaka sasa inabidi afanye mambo tuamini😹😹😹😹 Amwageeeee
Ila siamini ni fix tu!
Doh, itakuwa Kuna Kosa lingine kafanya sio la forexEt nasikia yupo ndani mpaka leo hajatoka?
Matajiri wanazengea vocha ukiamka unakuta mizozo, vijembe na vikundi vikundi vya ugomvi na umbeyaWatu walikuwa hawalali kisa vocha🤣
🤣🤣🤣,aisee mjep akaona isiwe kesi,Bora ajikatae😂Matajiri wanazengea vocha ukiamka unakuta mizozo, vijembe na vikundi vikundi vya ugomvi na umbeya
Nasikia mlio wa matako ya masikiniKumbe huo mlio na huko mnausikia
Dah😂😂😂
Kweli pata pesa tujue rangi zako 😂😂😂😂😂😂😂Pumbavu nawe onesha basi hako kaushamba *****
View attachment 3624716
Ya nini hela yako ikuletee shida zote zile.🤣🤣🤣,aisee mjep akaona isiwe kesi,Bora ajikatae😂
Kwakweli,maana wakamzushia mambo tele.Ya nini hela yako ikuletee shida zote zile.
Uliza uliza unaweza kuta na ww ushazushiwa 😁Kwakweli,maana wakamzushia mambo tele.
Ni mshahara wako au wa hao wanaopinga? Ilikuwa aje mkaaza kuzozana juu ya mshahara wako, maana unakuhusu wewe sio sisi!Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not less than 18,000$ kulingana na nature ya kazi mshahara si mkubwa ila bonuses ndo nyingi sana , wajuba wa abroad wananipata
Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu
Note that sifanyi Starehe kwamba sina akiba ipo Tena in large amount! 700M+
Kataa kubali ni wewe