Subiri kwanza maskini tulipwe mkuu, sema nini we fungua ndio utampush anaweza toa malipo mapema ili kuthibitishia watu yeye ni tajiri jf nzima😎Huyu jamaa namfananisha na hush puppy, ni tapeli, ngoja namfungulia Uzi ili kuwapa watu tahadhari
Naona ule uzi kule mods washafagia naona wameamka sasa, hako kachina sijui kaphilipino nimekaona ila sio vitu vyangu vitu vyangu najua unavijua hahaha ni zile ambazo zikifika km hapo alipo zinaagiza siti mbili maana siti moja haziwezi kukaaWe hujona hako kachina kidogo kamtoboe jicho kwa kidole eti?
Wap tunaandika majina ya maskini, Isije kuwa jina langu halipo nikakosa malipo 😎Subiri kwanza maskini tulipwe mkuu, sema nini we fungua ndio utampush anaweza toa malipo mapema ili kuthibitishia watu yeye ni tajiri jf nzima😎
Tunapeana nini? Robo tatu ya jf ni wasukuma nta 🐕 na kila mtu? Jishkilie kijana.. sina njaa za kishamba shamba hizo!Na Naskia wasukuma hua mnapeana, naona ushaanza kuandaa mazingira mapema 🔥
Nakubali ngosha 😎Tunpeana nini? Robo tatu ya jf ni wasukuma ntatombwa na kila mtu? Jishkilie kijana.. sina njaa za kishamba shamba hizo!
Huu wenyewe soon uta rest easy! Subiri akupostie lile la X😆Naona ule uzi kule mods washafagia naona wameamka sasa, hako kachina sijui kaphilipino nimekaona ila sio vitu vyangu vitu vyangu najua unavijua hahaha ni zile ambazo zikifika km hapo alipo zinaagiza siti mbili maana siti moja haziwezi kukaa
Uzi unaanzishwa soon huko mkapewe vyenu mbwa ninyi!Wap tunaandika majina ya maskini, Isije kuwa jina langu halipo nikakosa malipo 😎
Hahaha hilo kawaida sana nimetoka kupiga juzi mara 2 ya huyo mpaka nimevaa piopio kudadeekHuu wenyewe soon uta rest easy! Subiri akupostie lile la X😆
Piopio ni nini?Hahaha hilo kawaida sana nimetoka kupiga juzi mara 2 ya huyo mpaka nimevaa piopio kudadeek
Km huelewi bakia hivyo hivyo sio lazima kila kitu ujuePiopio ni nini?
Mbona kama h imetoka moyoni sana mpenzi 😎Uzi unaanzishw asoon huko mkapewe vyenu mbwa ninyi!
Hali ni mgumu😂Mbona kama h imetoka moyoni sana mpenzi 😎
Usijali, utakuwa SawaHali ni mgumu😂
Kwa kifua gani bwana weeh ntakuvunja mbavu bure!Usijali, utakuwa Sawa
Njoo ulale kifuani kwangu nikubembeleze
Mm n reli, treni linapita 😎Kwa kifua gani bwana weeh ntakuvunja mbavu bure!
Hebu kalale! Mimi nimeshacheka mleta mada abarikiwe mbavu zangu leo zimepata ugeni usiku usiku! Nimecheka mpaka nikasogeza lisaa mbele.. haya niwaache na mlevi wenu😅Mm n reli, treni linapita 😎
Mkuu,Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu
Kataa kubali ni wewe