Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

Tatizo lako unaongea mambo ambayo hayawezi kueleweka na mtu.

Kutokukuelewa unachoongea hakumfanyi mtu kutokuwa na roho wa Mungu ama roho wa wokovu ndani yake.

Kwa sababu wewe hauna hakimiliki ama mamlaka kwenye imani za watu wengine wamwaminio Mwenyezi Mungu.

Hauwezi kunena lugha ya rohoni ambayo jamii inayokuzunguka ibakie ikikushangaa na isiielewe tafsiri yake.

Hata wale mitume uliosema, walinena kwa lugha ngeni za kibinadamu za mataifa waliyokusudia kwenda kupeleka injili.

Na walipofika huko, lugha hizo ziliwasaidia kuongea na wenyeji wao moja kwa moja bila msaada wa wakalimani katika kuneza neno la bwana.

Hakuna maana nyingine ya kunena kwa lugha zaidi ya hii iliyoandikwa kwenye biblia chanzo chake kikiwa ni mitume kushukiwa na roho mtakatifu.
Umesema vyema, hata mimi ndivyo ninavyofaham. Unenaji wa lugha wa sasa huwa siuelewi kama wanaongozwa na roho mtakatifu au wanajiongoza wao wenyewe kuongea
 
Back
Top Bottom