Sio.kweli.uongo.mtupu hilo nrno.linadumbus wanaxuoni hadi kesho hakuna mwenyenuhakika na hiyo tafsiri ya alichoongea Yesu
Katika Mathayo 27:46 (Marko 15:34), Yesu anasema “Eli, Eli, lama sabakthani (σαβαχθανί)”, ambayo inatafsiriwa “ Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini neno hili linalodaiwa kuwa la Kiaramu limetafsiriwa kwa Kigiriki kama σαβαχθανί, pamoja na Chi (χ), badala ya kama σαβακθανι na Kappa (κ)?
Yesu akinena kwa Lugha ndio maana hadi leo hakuna mwenye uhakika kusema Yesu aliongea nini pale.Kuna vitu aliongea kibinafsi yeye na Mungu tu ndio maana watu walihangaika kupata tafsiri ambao walikuwepo hapo hapo msalabani wayahudi wahua hixo lugha Wengine wakasema anamwita Eliya wengine wakasena anasema Mungu wangu mbona umeniacha.Hizo zilikuwa tafsiri za watu pale wakihangaika kivyao
Kuna ubishi mkubwa hadi.leo wa nini aliongea Yesu pale msalabani
Mkuu wewe Ni mwanatheolojia??
Mkuu unajua/Umejifunza Lugha ya kiebrania,Kigiriki,Kiaramaic au Hata kilatini??
Kama ndiyo Mkuu Samahani kama nitakukosea kwa nitakachokisema, Rudi Tena kasome grammar Sana sana kwa Lugha hizi Tatu inaonekana zinakuchangnya Arabic,Aramaic na Hebrew..
Ukimuona Mtu aliyesoma Theolojia Bado anasumbuliwa na Maneno aliyotamka Yesu asijue ni lugha gani mtilie mashaka sana..
Yesu aliongea Simple aramaic sana hapo..
Sasa Twende kwenye kujifunza ili watu wasipotoshwe na maneno yako
Je ni mara ya Kwanza yesu aliongea Kwa lugha ya Aramaic na Sehemu hiyo ikaacha kutafasiriwa au ikatafasiriwa pamoja na kuacha lugha asili?
hapana,
Yesu alikuwa anaongea lugha ya Aramaic na Kiebrania, Lugha ya aramaic ilikuwa ni lugha official kwa ajili ya mazungumzo na mawasiliano ila lugha ya kiebrania ilikuwa ni lugha ya kiofisi na lugha rasmi kwa wayahudi wote..
Alipomfufua yule mtu aliye kufa alimuambia talitha Kumi..(Hii ni kiaramu)..
Marko 5:41
"Akamshika mkono kijana, akamwambia, Talitha, kumi; tafsiri yake, Msichana, nakuambia, Inuka."
Concern Yako ya kwanza ni watu kushangaa pale msalabani baada ya yeye Kusema Eloh eloh...
Kama nilivyosema Mwanzo kuwa Lugha iliyokuwa inaongewa na Wayahudi kama lugha ya mawasiliano.ilikuwa ni kiaramu kwa wakati huo
Na kwa bahati mbaya Utawala wa kipindi hicho ulikuwa ni utawala wa Kirumi kwahyo Warumi wengi hawakujua Kiaramu wala kiyahudi, Unless uwe katika jamii za wayahudi..
Na ikumbukwe waliomsulubisha yesu hawakuwa wayahudi kwa hiyo Siwezi kushangaa wao kusema anamwita eliya kwa sababu hawakujua anaongea nini hawakuwa familia na Lugha ya kiaramu..
Concern ya Pili ni neno lenyewe Eloi Eloi Lama sabakhtan..
Ulivochambua hili Neno kwenye Post yako Hapo Juu ndo kulifanya nitilie shaka uelewa wako wa Ligha ya tatu Kigiriki,Kiebrania,Kiarabu..
Ngoja tuandika Neno halisia kwa Lugha ya kiaramu..
"
ܐܠܗܐ ܐܠܗܐ ܠܡܢܐ ܫܒܩܬܢܝ
(Eloi, Eloi, lama sabakhtani)
Kwa lugha ya Kigiriki..
"
Ἐλωΐ, Ἐλωΐ, λεμὰ σαβαχθανί;"
Concern yako kuwa kwanini Kwenye Kigiriki hawakutumia Kappa (k) wakatumia Chi (
χ)
Neno "ܫܒܩܬܢܝ" au kwa Kigiriki σαβαχθανί linatamkwa "shabakhtani" na maana yake ni "Umeniacha mimi".
limetkna na mzizi wa Lugha ya Kiaramu "shbq" ambayo humaanisha "kuaondoka" ,"Kuacha" au "kutelekeza,"
na hiyo suffix ya -tani" Inamaansiha second person singular pronoun ambayo ni "you." So, kwa pamoja itatamkwa "shabakhtani" Tafsiri Yake mbona umeniacha..
Herufi za Kiaramu iliyotumika kama Kh ni ni herufi ya kiaramu Qop ( ܨ ) ambayo ni sawa na Herufi ya Kiarabu Qaf (ق) na ni sawa na Herufi ya Kiebrania Qaf ("ק" )
katika Lugha hizo tajwa hapo juu matamshi ya K,Kh, q yote yana herufi zake..
tatizo linaanza kwenye Lugha za magharibi kama Greek, English na latin hakuna tofauti mwa herifu
Sasa Qaf/Qof hutambulishwa kwa. Qi au chi (
χ) kwa ligha ya Kigiriki na kappa hutambulishwa kwa k..
Asili ya Sabakhthani ni Qaf kwa lugha ya Kiaramu kama umeniacha ..
Ila ukiweka Kappa inapoteza maana Yake..
Kwahyo wengi huikosea kuitamka kutokana na lugha yake kupotea kwenye maandishi..
By the way ni Kiaramu na sio lugha ya Kiroho....
Sijui kama umenielewa