Kuwatetea wanakigoma au jimbo lake? Maana walikuwepo wengine, Kama Nsazugwako, Serukamba n.k.Huyu kaja juzi leo amekuwa kiungani? Zitto toka 2005 anawatetea watu wa Kigoma
Basis mpango hafaiTangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Kwani Mpango huko sio KwaoVichekesho vingine wakose kujisifia kuchomea watu nyavu halali wanasahau kujisifia hili mpango nanialimchagua kgm nakama niyeye mpango ndiokaleta kwanini kaenda kugombea majimbo yaporini?je unaweza kupanda mgomba ķwenye shamba lamwenzie ujisifu ni ndizi yako watutolee hapa maendeleo nizito hatahivyo mbona hawajakanusha zuio la mradi wa ujiji senter
Kaziyao nikuzulumu wavuvi na kuzuia maendeleo
Yeye alikuwa anatengeneza budget yake kutoka wapi?Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Ww kigoma huijui mpango kwao ni mbali sana na kigoma mjini ataweza vipi kuleta maendeleo jimbo la kgm mjini akaacha jimbo lake? Nenda buhigwe ukapaone yy mwenyewe kushindani tabu labda tumeTangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Wewe unaijua Kigoma kuliko mkuu wa nchi Rais Magufuli?
Ndiyo maana serikali za majimbo zinahitajika mbivu na mbichi zitajulikana nani kiongozi bora nani mwakilishi bora. Mbunge ana mamlaka gani ya kuleta maendeleo jimboni awe mzuri au mbaya, hana mamlaka hata ya kuamuru choo kijengwe kikajengwa. Tunadanganywa tu eti tunachagua viongozi wkt ni wawakilishi tu wa shida za wananchi kwa viongozi ambao hatuwachagui sisi.Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Magufuli ni muongo!Wewe unaijua Kigoma kuliko mkuu wa nchi Rais Magufuli?
Kwani Mpango huko sio Kwao
[/QUOT hata mm nikwetu ndionimeleta maendeleo? Kilakitu kinautaratibu wake nduomaana mpango hajasema yeye kaleta nini hawezi kudandia gari kwambele anajuwa kuna mwami ruyagwa ndiomwenyemaendeleo yake
Huu ndiyo ukweli. Anayepinga hili ni mchawi tuTangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete
hahahahahaaaaaaaa . . . . . . nimecheka sanaMagufuli ni mtu muongo sana na ninakushauri usimuamini hata akiongea ukweli maana anaweza kukwambia ziwa Tanganyika liko chato
Wewe unaejielewa hujui kuelewa na pengine unashangaa inakuwaje...wale wana halmashauri...lakini nikusaidie tu hebu waulize nduguzo hiyo miundombinu imejengwa kwa fedha za nani? Pengine itakusaidia kujifunza na kujielimisha.Unajielewa kweli? Zito ndio anakusanya Kodi za wanakigoma? Kwani zito ndio anayetenga bajeti ya maendeleo ya kigoma? By the way kigoma Kuna maendeleo gani? Kati ya mikoa au miji worst kimaendeleo kigoma inaongoza. Sema tuu zito ameifanya kigoma ikawa popular among mikoa ya Tz kutokana na umaarufu wake lkn hana mchango wowote kwenye maendeleo au kudumaa kwa kigoma. CCM ndio walioifanya kigoma kuwa hivi ilivo Leo. Lekatutugite.
Ushafika kigoma mzeeTangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Mimi Jiwe kwa kweli sijawahi kumwelewa, huwa namwona ni tapeli kuliko GwajboyWewe unaijua Kigoma kuliko mkuu wa nchi Rais Magufuli?