Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

Huyu kaja juzi leo amekuwa kiungani? Zitto toka 2005 anawatetea watu wa Kigoma
Kuwatetea wanakigoma au jimbo lake? Maana walikuwepo wengine, Kama Nsazugwako, Serukamba n.k.
Sema Kigoma in potential zake ambazo kiongozi yeyote lazima apaangalie Kigoma kwa Jicho la pili au tatu , na hasa JPM ambaye hapendi maneno mengi bali utekelezaji na vitendo akisaidiwa na Mpango
 
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Basis mpango hafai
 
Vichekesho vingine wakose kujisifia kuchomea watu nyavu halali wanasahau kujisifia hili mpango nanialimchagua kgm nakama niyeye mpango ndiokaleta kwanini kaenda kugombea majimbo yaporini?je unaweza kupanda mgomba ķwenye shamba lamwenzie ujisifu ni ndizi yako watutolee hapa maendeleo nizito hatahivyo mbona hawajakanusha zuio la mradi wa ujiji senter
Kaziyao nikuzulumu wavuvi na kuzuia maendeleo
Kwani Mpango huko sio Kwao
 
Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Yeye alikuwa anatengeneza budget yake kutoka wapi?
 
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Ww kigoma huijui mpango kwao ni mbali sana na kigoma mjini ataweza vipi kuleta maendeleo jimbo la kgm mjini akaacha jimbo lake? Nenda buhigwe ukapaone yy mwenyewe kushindani tabu labda tume
 
Mimi ni muha niko mwandiga hapa, Dr Mpango ndo nani?
 
Magufuli kila siku anasema ukichagua upinzani maendeleo utayasikia,yeye hapeleki maendeleo jimbo lenye mbunge wa upinzani sasa ilikuwaje akapeleka maendeleo jimbo la Zitto!!!

Huyu mzee ni roho mbaya na vitisho tu. Kama Mpango ndiyo kiunganishi angepeleka maendeleo jimboni kwa Mpango ambako kulikuwa kunaongozwa na mbunge wa CCM.
 
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Ndiyo maana serikali za majimbo zinahitajika mbivu na mbichi zitajulikana nani kiongozi bora nani mwakilishi bora. Mbunge ana mamlaka gani ya kuleta maendeleo jimboni awe mzuri au mbaya, hana mamlaka hata ya kuamuru choo kijengwe kikajengwa. Tunadanganywa tu eti tunachagua viongozi wkt ni wawakilishi tu wa shida za wananchi kwa viongozi ambao hatuwachagui sisi.
 
Ndio shida yenu, mpo kwa ajili ya personalities...asemae ukweli basi ni mpizani. Mimi sijawahi kuwa ACT wala kuwaza. Lakini kama kusema ukweli ni kuwa ACT basi na iwe.
Suala sio taa kuwa kitu kikubwa, ni kuwa MaCCM ndio wanatishia watu kuwa hawataletewa taa wasipochaguliwa. Jibu ni kuwa taa zipo na hatujawachagua so hatuwachagui kisa taa... njoo ya sera sio kututishia vitu visivyo na msingi.
So waambie MaCCM waache kutishia nyau
 
Kwani Mpango huko sio Kwao
[/QUOT hata mm nikwetu ndionimeleta maendeleo? Kilakitu kinautaratibu wake nduomaana mpango hajasema yeye kaleta nini hawezi kudandia gari kwambele anajuwa kuna mwami ruyagwa ndiomwenyemaendeleo yake
 
Wewe na umekuwepo Kigoma lini? Ashindwe kujenga hata kipande cha Manyovu Kasulu aje aweke taa kwa Mpinzani ambako hana faida nako? Sijawahi mkubali Zitto kwa kuwa hutanguliza maslahi yake binafsi lakini kwa hili hapana. Amekuwa kuwadi mwema kwa Kigoma. Mkuje na ngonjera nyingine.
 
Unajielewa kweli? Zito ndio anakusanya Kodi za wanakigoma? Kwani zito ndio anayetenga bajeti ya maendeleo ya kigoma? By the way kigoma Kuna maendeleo gani? Kati ya mikoa au miji worst kimaendeleo kigoma inaongoza. Sema tuu zito ameifanya kigoma ikawa popular among mikoa ya Tz kutokana na umaarufu wake lkn hana mchango wowote kwenye maendeleo au kudumaa kwa kigoma. CCM ndio walioifanya kigoma kuwa hivi ilivo Leo. Lekatutugite.
Wewe unaejielewa hujui kuelewa na pengine unashangaa inakuwaje...wale wana halmashauri...lakini nikusaidie tu hebu waulize nduguzo hiyo miundombinu imejengwa kwa fedha za nani? Pengine itakusaidia kujifunza na kujielimisha.
Sio kila kitu kinatoka kwa kodi yako.
Ukijua chanzo cha fedha, njoo tuelimishane sasa kuwa nani alikuwa kuwadi kwenye hilo.
 
Uzi wako huu ni wa ngapi kwa siku hapa jf

Ova
 
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Ushafika kigoma mzee

Ova
 
Back
Top Bottom