Kuwatetea wanakigoma au jimbo lake? Maana walikuwepo wengine, Kama Nsazugwako, Serukamba n.k.Huyu kaja juzi leo amekuwa kiungani? Zitto toka 2005 anawatetea watu wa Kigoma
Sema Kigoma in potential zake ambazo kiongozi yeyote lazima apaangalie Kigoma kwa Jicho la pili au tatu , na hasa JPM ambaye hapendi maneno mengi bali utekelezaji na vitendo akisaidiwa na Mpango