Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?


hapa relativity inafanya kazi.

kwamba speed =distance/time,itategemea unachokipima unakiangalia ukiwa umekaa wapi??

aliye nje ya dunia anahesabu tofauti ya mwaka ukilinganisha na aliyepo duniani,jinsi anavyozidi kuacha jua ndivyo anamaliza miezi 12 kwa tabu zaidi.

sijui nawaza vibaya!!!!
 
That's impossible.
Wanasema if you travel to the past, that past becomes your future, and your real future becomes the past which now cannot be changed by your present future.
Am completely lost...
Sijaelewa lolote
 
Tatizo ni kwamba utasafiri kwenda wapi[emoji848]
 
Tatizo ni kwamba utasafiri kwenda wapi[emoji848]
Ulimwengu ni mkubwa sana.
Kuna mabillioni ya galaxies.
Na kwenye hii galaxy nyumbani tuliopo tu (milky way), mwanga unatumia miaka laki 1 kusafiri kutoka upande mmoja kwenda mwingine.
 
Time ni nn!??
Ukijibu hilo swali basi inawezekana.
Ukisoma kitabu cha stephene Hawk na kile Reality is not real kuna concept nyingi za future science kwenye cosmology kitabu kimeelezea mpaka mwanzo wa mda na before big bang kulikuwa na nn, kuna promising kubwa majibu yatapatikana.
Pia kimeeleza mpaka ulimwengu ni duara ya 4d ukisafiri in straight line utarudi pale pale
 
Naomba niulize hicho chombo chenye spidi ya mwanga kitakua kinatumia mafuta,gesi au umeme?
 

kuna mtu anaitwa Stephen Hawking ni mwingereza ameeleza vizuri sana kwenye nadharia zake ie black holes na Hawking radiation kuhusu kasi, muda na uvutano
 
You are very right!
Our relative speed with respect to that of the expansion of the UNIVERSE is zero; whereas the speed of the later with respect to that of light is X-c; where X is the speed of the rate of expansion of the UNIVERSE (in persec)and c is the speed of light
Thus our relative speed with respect to that of the universe is X-X=o. To be able to travel slightly beyond/ beyond the speed of light, we will need to break first the barrier of Einstein 1905 theory of relativity
Kumbuka pia kuwa pamoja na kwamba hii theory imekaa unchallenged for more than a century now; si ile iliyosababisha akapewa Nobel Prize ya Physics mwaka 1921. Kilichosababisha akapewa Nobel Prize ni THEORY OF PHOTO-ELECTRIC EFFECT ambayo sasa hivi imesababisha maeneno yasiyokuwa na umeme kuwa na umeme wa solar
Wataalamu wetu kweye SPACE STATION nao pia huwa wanatumia umeme wa Solar muda wote. Kwa kweli watu wengine huwa wanazaliwa na vichwa vya ajabu sana
 
Katika theory za physics ambazo sijawahi kuzielewa zimekaa kiimani zaidi ni hii ya relativity
Gari mbili zinazosafiri zikiwa sambamba na kwa kasi iliyo sawa, wewe ukiwa mmojawapo wa abiria kwenye mojawapo ya gari hizo; gari hizo zitaonekana kwako kuwa zimesimama wakati in reality zinakimbia, tena kwa kasi kubwa

Kwa yule aliye nje ya gari hizo ambaye si mmojawapo wa abiria, ataziona gari hizo zinakimbia zikiwa sambaba, ila zinakimbia kwa kasi fulani. Tuseme kwa mfano, gari hizo zinakimbia kwa kasi ya km 80 kwa saa, aliye nje atapima na kuziona zinakimbia kwa kasi hiyo wakati wewe uliye ndani, utaziona hazitembei, zimesimama
 
Hakuwa kwenye past. Time kwake ilikuwa inamove slowly lakini sio kurudi nyuma.
Kwenda past ni pale time inarudi nyuma, yani miaka inarudi nyuma.
Uko sahaihi kabisa, ila ikitokea sasa chombo anachosafirira kika-break the barrier ya Theory of Relativity, ndiyo sasa unachokiongelea hapa kinatokea.

Alikuwa hajarudi nyuma ndiyo ila alikuwa yupo kwenye mchakato huo na barrier yake kwa wakati huo ilikuwa ni speed ya chombo kile alichokuwa anasafirira
 
Impossible is possible mkuu ata hapa tulipofikia Kuna watu walisemaga haiwezekan ,labd limit itakua ni technology tu na knowledge miaka 1000 mbele ,kwa kizazi Chao watakua wamemodify vitu atleast
Watu huwa wanachanganya sana kati ya vigumu na visivyowezekana; there are difficult things but possible
 
Watu huwa wanachanganya sana kati ya vigumu na visivyowezekana; there are difficult things but possible
Nyie ndio mnachanganya...hii sio ngumu ni impossible.
You can not travel through space faster than light hiyo ni sheria ya ulimwengu tunaoishi.
Hiyo sheria ndio imefanya matter na energy kuexist.
Kungekuwa hakuna speed limit, kusingekuwa na causality na ulimwengu tunaoujua na kuupenda usingeform.
 
Mkuu napenda sayansi ila hii story nadhani iko uku bongo tu alienda wap akat mwanadanu hajawai safiri zaid ya 2second of speed of light ambao ni umbali wa dunian na kwenye mwezi uyo alienda wapi na kwa chombo gani? Hii ni nadhalia tu
 
Hapana inaweza ikawa siyo impossible milele. Ni poossible kama itakuja kutokea kwenye utafiti, theory nyingine ambayo ita-break barrier ya theory ya 1905 ya Einstein

Kuna kipijdi watafiti wamewahi ku-observe particles ambazo walidhani kuwa zina speed kubwa kuliko ya mwanga lakini baadaye walipokuja kuangalia energy spectrum yake ikawa iko sawa na ile ya mwanga na hivyo waka-conclude kuwa walikosea kwa sababu particle mbili zenye speed tofauti haziwezi kuwa na energy iliyo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…