Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
- Thread starter
- #41
Wekeza nguvu utaujua ukweli mkuuHaha hii nada Ina uongo mwingi. Yani usafiri kwenda wapi Sasa kwa spidi ya mwanga,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeza nguvu utaujua ukweli mkuuHaha hii nada Ina uongo mwingi. Yani usafiri kwenda wapi Sasa kwa spidi ya mwanga,
Asome mambo ya theory of multiple universe( multiverse existance) then asome issue ya parallel universe ,halafu atokee kwenye black hole.Wekeza nguvu utaujua ukweli mkuu
The twin paradox proves this to be true.
Mapacha wawili waliozaliwa siku moja, mmoja anasafiri kwenda anga za mbali akiwa kwenye chombo chenye kasi ya mwanga. Anaondoka hapa duniani akiwa ana umri wa miaka X na hivyo kumwacha pacha wake naye pia akiwa na umri huo huo wa miaka X.
Huyu msafiri anasafiri kwa muda wa miaka 100 bila kutua popote na hatimaye kurudi tena hapa duniani, akimkuta mwenzake alishafikisha miaka 100+X, huku yeye akiwa na umri wa miaka isiyozidi 40!
Hawa watu walizaliwa siku moja lakini leo mmoja ana miaka zaidi ya 100 na mwingine ana miaka chini ya 40. TIME DILATION
Hiki kitu kipo na kinawezekana, tatizo tu lipo kwenye utaalamu wa kuweza kutengeneza chombo chenye uwezo wa kusafiri kwa kasi ya mwanga na mwanadamu akaweza kukaa na kusafiri kwenye chombo cha aina hiyo bila kudhurika
Ni kama ilivyo kwenye effect ya g (acceleration due to gravitaty) kwenye free fall. Jiwe la tani 100 na unyoya wa kuku vyote vinaweza kudondoshwa kutoka juu umbali ulio sawa KWENYE VACUUM na vyote vikatua chini kwa wakati mmoja. Hii haina shaka wala ubishi kwa sababu tayari iko PROVED. Ni kwa sababu for free fall of bodies, the velocity of a body is independent of its MASS.
Am completely lost...That's impossible.
Wanasema if you travel to the past, that past becomes your future, and your real future becomes the past which now cannot be changed by your present future.
Tatizo ni kwamba utasafiri kwenda wapi[emoji848]Mkuu hauwezi kurudi kwa past labda usafiri zaidi ya spidi ya mwanga.
Na hakuna kitu chenye mass kinaweza kusafiri kwa spidi ya mwanga.
Hakuna kitu chochote kinaweza kuvuka spidi ya mwanga
Ukisafiri kwa spidi ya mwanga, muda unasimama.
Yani mfano wewe ukisafiri kwa spidi ya mwanga kwa miaka billioni moja halafu ukasimama...Wewe utaona ni kufumba na kufumbua haijachukua hata sekunde.
Ulimwengu ni mkubwa sana.Tatizo ni kwamba utasafiri kwenda wapi[emoji848]
Time ni nn!??Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time.
Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia speed kubwa sana kuikaribia speed ya mwanga kifizikia 3×10^8m/s una uwezo wa kurudi nyuma ya MUDA(TIME).
Anasema basi mwanadamu atakua na uwezo wa kwenda at the PAST (TIME TRAVELER).
Wataalamu wa Anga na fizikia inawezekanaje hili Jambo kwa dunia ya Sasa? Kuna Siri gani?
Kweli kabisaScience inatafsiri uumbaji.
Hakuna kitu kipya kwa wanasayansi wanatueleza tu Mungu alivyovifanya tayari ila kwa Lugha yao iliyojaa mbwembwe nyingi ila hawana lolote.
That's impossible.
Wanasema if you travel to the past, that past becomes your future, and your real future becomes the past which now cannot be changed by your present future.
Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time.
Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia speed kubwa sana kuikaribia speed ya mwanga kifizikia 3×10^8m/s una uwezo wa kurudi nyuma ya MUDA(TIME).
Anasema basi mwanadamu atakua na uwezo wa kwenda at the PAST (TIME TRAVELER).
Wataalamu wa Anga na fizikia inawezekanaje hili Jambo kwa dunia ya Sasa? Kuna Siri gani?
You are very right!Kutravel 'Slightly beyond the speed of light' sasa haiwezekani.
Kumbuka nothing can travel through space with a speed greater than that of light.
So kurudi past Haiwezekani.
Lakini space yenyewe inaexpand kwa spidi kubwa kuliko mwanga. So hata sisi space inatusafirisha jwa spidi kubwa kuliko mwanga.
Gari mbili zinazosafiri zikiwa sambamba na kwa kasi iliyo sawa, wewe ukiwa mmojawapo wa abiria kwenye mojawapo ya gari hizo; gari hizo zitaonekana kwako kuwa zimesimama wakati in reality zinakimbia, tena kwa kasi kubwaKatika theory za physics ambazo sijawahi kuzielewa zimekaa kiimani zaidi ni hii ya relativity
Uko sahaihi kabisa, ila ikitokea sasa chombo anachosafirira kika-break the barrier ya Theory of Relativity, ndiyo sasa unachokiongelea hapa kinatokea.Hakuwa kwenye past. Time kwake ilikuwa inamove slowly lakini sio kurudi nyuma.
Kwenda past ni pale time inarudi nyuma, yani miaka inarudi nyuma.
Watu huwa wanachanganya sana kati ya vigumu na visivyowezekana; there are difficult things but possibleImpossible is possible mkuu ata hapa tulipofikia Kuna watu walisemaga haiwezekan ,labd limit itakua ni technology tu na knowledge miaka 1000 mbele ,kwa kizazi Chao watakua wamemodify vitu atleast
Uko sahaihi kabisa, ila ikitokea sasa chombo anachosafirira kika-break the barrier ya Theory of Relativity, ndiyo sasa unachokiongelea hapa kinatokea.
Alikuwa hajarudi nyuma ndiyo ila alikuwa yupo kwenye mchakato huo na barrier yake kwa wakati huo ilikuwa ni speed ya chombo kile alichokuwa anasafirira
Nyie ndio mnachanganya...hii sio ngumu ni impossible.Watu huwa wanachanganya sana kati ya vigumu na visivyowezekana; there are difficult things but possible
Mkuu napenda sayansi ila hii story nadhani iko uku bongo tu alienda wap akat mwanadanu hajawai safiri zaid ya 2second of speed of light ambao ni umbali wa dunian na kwenye mwezi uyo alienda wapi na kwa chombo gani? Hii ni nadhalia tuThe twin paradox proves this to be true.
Mapacha wawili waliozaliwa siku moja, mmoja anasafiri kwenda anga za mbali akiwa kwenye chombo chenye kasi ya mwanga. Anaondoka hapa duniani akiwa ana umri wa miaka X na hivyo kumwacha pacha wake naye pia akiwa na umri huo huo wa miaka X.
Huyu msafiri anasafiri kwa muda wa miaka 100 bila kutua popote na hatimaye kurudi tena hapa duniani, akimkuta mwenzake alishafikisha miaka 100+X, huku yeye akiwa na umri wa miaka isiyozidi 40!
Hawa watu walizaliwa siku moja lakini leo mmoja ana miaka zaidi ya 100 na mwingine ana miaka chini ya 40. TIME DILATION
Hiki kitu kipo na kinawezekana, tatizo tu lipo kwenye utaalamu wa kuweza kutengeneza chombo chenye uwezo wa kusafiri kwa kasi ya mwanga na mwanadamu akaweza kukaa na kusafiri kwenye chombo cha aina hiyo bila kudhurika
Ni kama ilivyo kwenye effect ya g (acceleration due to gravitaty) kwenye free fall. Jiwe la tani 100 na unyoya wa kuku vyote vinaweza kudondoshwa kutoka juu umbali ulio sawa KWENYE VACUUM na vyote vikatua chini kwa wakati mmoja. Hii haina shaka wala ubishi kwa sababu tayari iko PROVED. Ni kwa sababu for free fall of bodies, the velocity of a body is independent of its MASS.
Hapana inaweza ikawa siyo impossible milele. Ni poossible kama itakuja kutokea kwenye utafiti, theory nyingine ambayo ita-break barrier ya theory ya 1905 ya EinsteinNyie ndio mnachanganya...hii sio ngumu ni impossible.
You can not travel through space faster than light hiyo ni sheria ya ulimwengu tunaoishi.
Hiyo sheria ndio imefanya matter na energy kuexist.
Kungekuwa hakuna speed limit, kusingekuwa na causality na ulimwengu tunaoujua na kuupenda usingeform.