Sasa wewe apart from TV na cartoons,.ni wapi ume observe Dunia Tufe.Mfano wa chumba chenye tiles nimekupa nikimaanisha unachokiona ni small portion ya Dunia isikufanye u-conclude Dunia ni flat, nimekuuliza swali we unavyoona saivi Dunia ni flat? Huoni milima mabonde na slopes?
Au flat ya namna Gani? Au ni flat rectangular?
Ungejua kama hata kwenye circle Kuna flatness btn points.
Hayo maswali unayosema nimeyakimbia,...nimejibu zaidi ya mara moja humu.Hoja kama hizi unakimbiaπππππ
Nimekupa applications za gravity na Dunia kuwa Duara tunavyotumia katika engineering lakin umeruka Nduukiiii kama huonii.
Unataka nini tena? Kuna hoja za kujibu hapa umeruka Nduukiiii kama huoni. Mzee wa nduukiiii πππ.
Muungwana hujibu hoja sio kukimbia, na kuchagua Cha kujibuna Cha kutokujibu.
Kama Kuna mahali kunacontradiction hapo juu semaππ kama hakuna kiri sio vibaya.
We jamaa unasahau mpka uongo wakoππ, uliposema biblia na Qur'an zinasema ulikuwa na maana Gani? ππObservational gani umetoa za kuthibitisha Dunia Tufe?
Kuna vifungu vya biblia na Qur'an nimeweka hapa.? Ushaanza uzushi sasa.
Sijaona sehemu unayotaka nikuletee Aya,..kama unataka sema...nakuletea hiyo Aya, just in a blink of an eye.Unauhakika Gani watu hawaamini nilichosema?
Nimekupa evidence za kutosha lakini unashinda tu Aya umeshinda tupe hoja zako mara huna details, mara bible na Qur'an zinasema hivi Aya leta vifungu nduukiiiiππ.
Sasa wewe apart from TV na cartoons,.ni wapi ume observe Dunia Tufe.
Au unafanya assumption kwamba Dunia ni Tufe kisha ndiyo unasema Tufe Lina flatness btn points.?
Kuna sehemu nimesema bible na Qur'an?,...We ushachanganyikiwaWe jamaa unasahau mpka uongo wakoππ, uliposema biblia na Qur'an zinasema ulikuwa na maana Gani? ππ
"Jua na Mwezi through observation zinaonyesha kabisa zinafanya movement.... kuhusu kuzunguka kwenye realm moja scientific na religious texts kama Qur'an, Jua na Mwezi zinatajwa kuzunguka kwenye realm/orbit moja."
Nikakwambia lete hapa, ulileta???ππ
Hayo maswali unayosema nimeyakimbia,...nimejibu zaidi ya mara moja humu.
Huo muda wa kukaa na kurudia rudia Mtu unautolea wapi?
Wewe una ushahidi gani kama Ile shadow unayoona kwenye mwezi ni Dunia?Observations zipo na nimeshakwambia
Kama vile:
1. Lunar phases inacast shadow ya Dunia kwenye moon ndo maana inaonekana circle.
2. Ship visibility
3. Sun set and sunrise.
πππ Okay isiwe kesi, basi leta hayo maneno ya Qur'an. Kwan shida iko wapi?Kuna sehemu nimesema bible na Qur'an?,...We ushachanganyikiwa
The only thing nime mention ni Qur'an verse regarding Mwezi na Jua Ku sail kwenye anga....sasa sijui huo uzushi unaleta wa nini hapa.
Yaani Mtu unaambiwa ulete ushahidi wowote usio na shaka kuhusu Dunia Tufe,...unaleta hizo hadithi hapo juu ambazo sihakua debunked mara nyingi humu.Observations zipo na nimeshakwambia
Kama vile:
1. Lunar phases inacast shadow ya Dunia kwenye moon ndo maana inaonekana circle.
2. Ship visibility
3. Sun set and sunrise.
Nimeona Kwa macho yangu wakati huo Jua halipo lipo upande wa pili, kwahy logically tu unaona ni shadow ya Dunia.Wewe una ushahidi gani kama Ile shadow unayoona kwenye mwezi ni Dunia?
Au Kwa kuwa umeambiwa na NASA?
πππ Okay isiwe kesi, basi leta hayo maneno ya Qur'an. Kwan shida iko wapi?
Sema mashaka yake wewe?Yaani Mtu unaambiwa ulete ushahidi wowote usio na shaka kuhusu Dunia Tufe,...unaleta hizo hadithi hapo juu ambazo sihakua debunked mara nyingi humu.
Hizi bangi sasa...
Jua lipo upande wa pili wa nini?Nimeona Kwa macho yangu wakati huo Jua halipo lipo upande wa pili, kwahy logically tu unaona ni shadow ya Dunia.
Then NASA wakakazia kabisa na Hadi tarehe na mwezi wa umbo Fulani la moon litakavyokuwa wanatoa.
Je wewe Kwa maelezo yako ya flat earth unamaelezo Gani kuhusu Hilo?
Kwahy Qur'an inacontradict?Haya hizi hapa ni baadhi Tu,....
Surah Yasin, verse 40: "It is not for the sun to overtake the moon, nor does the night outstrip the day. They all float, each in an orbit." (Qur'an,36:40)
Surah Ya-Sin, verse 38:
"And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing
Wa Dunia.Jua lipo upande wa pili wa nini?
Upande wa pili wa Dunia haupo,..can you prove upande wa pili wa Dunia by any means possible?Wa Dunia.
Ime contradict kivipi sasa hapo?Kwahy Qur'an inacontradict?
Vipi kuhusu hii,ππ
And the earth, moreover, Hath He made egg shaped.β [Al-Qurβaan 79:30]
Yaani we jamaa una illogical questions,Upande wa pili wa Dunia haupo,..can you prove upande wa pili wa Dunia by any means possible?