Huna swali lolote la msingi,.. maswali yote uliyouliza yalijibiwa na Kwa bahati mbaya ukakimbia bila Kuleta ushahidi wa dunia tufe linalozunguka.......Kuna maswali alikimbia hadi leo alijua naenda kumuingiza mtegoni,
Kiufupi yeye na ukilaza ni damu damu.
Sio wewe ulokua unauliza kwanini river nile inamwaga maji egypt na sio imwage maji huku chini (eastafrica) mkuu , nilivokuuliza altitude profile unaifahamu ulijibu?Naona mnaupaka ujinga rangi nzuri hapa....kwamba wewe ushawahi kuniuliza swali la altitude? Lilete hapa la sivyo utakua mzushi..
Then, hilo swali la altitude ni la kitoto sana kisha halithibitishi Dunia Tufe linalozunguka ππΌπ
Kimsingi mpaka sasa hakuna yoyote aliyeweka ushahidi usio na shaka kwamba Dunia ni Tufe, na mambo mengine mengi nikitulia nitaandika hapa.
Mimi na wewe ni nani alimkimbia mwenzie ?? Rejea nyuma uone ni nani hakujibu maswali ya mwenzie akala mbio nyingi sanaHuna swali lolote la msingi,.. maswali yote uliyouliza yalijibiwa na Kwa bahati mbaya ukakimbia bila Kuleta ushahidi wa dunia tufe linalozunguka.......
Huna swali lolote ambalo ulishindwa kujibiwa....swali la mwisho nakumbuka uliuliza kuhusu sunset na sunrise.. ukapata majibu safi kabisa...Mimi na wewe ni nani alimkimbia mwenzie ?? Rejea nyuma uone ni nani hakujibu maswali ya mwenzie akala mbio nyingi sana
Na kama upo tayari nianze kukuuliza tena, na usiruke wala kukimbia mpaka tufike hitimisho
Sijawahi kuuliza swali hilo.... huenda kuna Mtu ulijadiliana nae kuhusu hilo.Sio wewe ulokua unauliza kwanini river nile inamwaga maji egypt na sio imwage maji huku chini (eastafrica) mkuu , nilivokuuliza altitude profile unaifahamu ulijibu?
Kweli aise ni BROKE BOYSSijawahi kuuliza swali hilo.... huenda kuna Mtu ulijadiliana nae kuhusu hilo.
Wala wewe hujawahi kuniuliza kuhusu altitude profile.
Mtu mzima ukiwa muongo muongo haipendezi,Huna swali lolote ambalo ulishindwa kujibiwa....swali la mwisho nakumbuka uliuliza kuhusu sunset na sunrise.. ukapata majibu safi kabisa...
Ukirudi na maswali ambayo ushajibiwa utakua unakwama sasa.
NB:- Nilikuomba ushahidi wowote usio na shaka kwamba Dunia ni Tufe [emoji1371] [emoji288] linalozunguka.... Mpaka Leo umeshindwa unaleta maneno na hadithi tu.
Na tangu lini umewahi kuwa na "majibu safi kabisa"Huna swali lolote ambalo ulishindwa kujibiwa....swali la mwisho nakumbuka uliuliza kuhusu sunset na sunrise.. ukapata majibu safi kabisa...
Ukirudi na maswali ambayo ushajibiwa utakua unakwama sasa.
NB:- Nilikuomba ushahidi wowote usio na shaka kwamba Dunia ni Tufe [emoji1371] [emoji288] linalozunguka.... Mpaka Leo umeshindwa unaleta maneno na hadithi tu.
Uongo upo wapi sasa... kuhusu Orion hukupata majibu?Mtu mzima ukiwa muongo muongo haipendezi,
Sio wewe nliyekua nakuuliza kuhusu nyota za orions ?
Huwezi ukayakubali majibu hayo kwa kuwa yapo against kile ulichoaminishwa.Na tangu lini umewahi kuwa na "majibu safi kabisa"
Vichekesho hivi vinapatikana kwako tu
So, huo ndiyo uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka ππΌπ???????!hateeb10
Kwahiyo "flat earth society" vitu kama hivi mkiviona huwa mnadhani ni kwajili ya kujifurahisha ?
[emoji16][emoji16] View attachment 2936671
Anayeweza kukubali majibu yako ya kuunga unga lazima awe hamnazo kichwani,Huwezi ukayakubali majibu hayo kwa kuwa yapo against kile ulichoaminishwa.
Hukujibu ulikimbia, Rudi nyuma uone mimi na wewe tuliishia wapi.Uongo upo wapi sasa... kuhusu Orion hukupata majibu?
Chosen Rich ?So, huo ndiyo uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka ππΌπ???????!
Yani nikimbie swali kuhusu Orion galaxy? Haiwezi kuwa kweli.....Hukujibu ulikimbia, Rudi nyuma uone mimi na wewe tuliishia wapi.
Majibu unapewa unayakataa unataka ya kwako,
Orion galaxy ??Yani nikimbie swali kuhusu Orion galaxy? Haiwezi kuwa kweli.....
Wewe ndiyo ulikimbia baada ya kupata majibu...