Unataka video ya nini?Kwa kutumia akili zangu kabisa watu wenye vitambi ni wameshiba maana matumbo yao yamejaa.
Lakini uhalisia hauko hivi kabisa,kilichojaa mule sio ugali au viazi.
Tumeomba mfano wa namna ya video au picha kuonyesha haya madai yako,mkuu umekataa kabisa kutuma.
Mpaka sasa hakuna binaadam aliyevuka mwezi kusafiri,watu wanatuma vyombo peke yake.Ndiyo, narudia tena kwamba hakuna aliyetoka na kutangaza rasmi kwamba anajua jinsi Nyota zinavyo move na kuelezea Kwa undani.
Ntakuwa lofa kuogopa kuonekana mjinga na wapumbavu.Sasa kuliko kubisha kuhusu hilo nadhani ungeleta uthibitisho wa mtu/taasisi yoyote inayosema inajua jinsi Billions of Nyota zinavyo move,.....la sivyo wewe ndiyo utaonekana mjinga.
Animation tu,tuone namna jua linavyozunguka dunia na nyota zikiwamo na mwezi.Unataka video ya nini?
Unaiona kwasababu Dunia ipo flat.,..ingekua haipo flat na kwamba kuna curvature,. Basi hata ungepanda kwenye floor ya mwisho ya Jengo la Bandari there's no way ungeweza kuiona Zanzibar.Nataka uniambie wewe kwa akili yako nzuri,mimi nimeshindwa sababu ya macho hafifu,haya cannon imeshindwa sababu ya lens za bei chee ama nini???
Na kwa taarifa yako zingatia, tukipanda floor ya mwisho ya jengo la bandari tukatumia hiyo cannon kizimkazi hii hapa tunaiona.
Sawa Ahsante Kwa kukubaliana kuhusu mjongeo wa Nyota nadhani hili limeisha sasa..... aione Chosen RichMpaka sasa hakuna binaadam aliyevuka mwezi kusafiri,watu wanatuma vyombo peke yake.
Ni kweli kwamba hakuna mtu aliyekwenda ktk nyota moja moja na kuona zinafanyaje mjongeo.lakini hii haitoshi kusimama kama hoja yako.
Ndiyo Nyota zipo ndani ya Anga ya Dunia....Kwa kukuwekea simple zaidi ni kwamba,.ukiweza kutoka mbali kabisa away from anga la dunia ambapo hakuna:-Nawewe ni muumini wa kujua nyota ziko ndani ya dunia😂😂😂😂
Boss, Anga ni nini kwa flat earth theory?Nimejichanganya vipi? Ninaposema Galaxy namaanisha hilo kundi la Nyota zinazounda shape ya Orion.....au hiyo pia ni ngumu kuelewa.?
1. Ndiyo Nyota zinafanya movement kwenye anga ..,..
2. Kama nilivyokujibu awali kwamba elimu juu ya namna Nyota hizo zinavyoogelea kwenye anga,as it stands, bado hatuna.
Nadhani swala la Orion limeisha sasa,..
Animation haziwezi kukupa uhalisia wa jinsi objects zinavyo move exactly ,....hata NASA wanatumia animation lakini ndiyo hizo watu wanazi question kila siku.....watu wanataka picha halisia & not animations hasa kwenye zama hizi za GenZ.Animation tu,tuone namna jua linavyozunguka dunia na nyota zikiwamo na mwezi.
Sasa mkuu kama unakubali kuna limited vision ya macho kwanini hufikiri kuwa hiyo weakness ndo inafanya usione umbali unaotosha kuonyesha umbile halisi la dunia?Unaiona kwasababu Dunia ipo flat.,..ingekua haipo flat na kwamba kuna curvature,. Basi hata ungepanda kwenye floor ya mwisho ya Jengo la Bandari there's no way ungeweza kuiona Zanzibar.
Kinachofanya ushindwe kuiona Zanzibar ukiwa chini ni kutokana na obstacles & limited vision ya macho au camera inapokutana na hewa+maji(bahari), ukishaenda floor ya juu kabisa maana yake ume escape effect ya maji kwenye uoni wako so you can see far zaidi kutegemea na uwezo wa camera....Mionzi ya mwanga inaweza kugongana na chembe ndogo za maji na molekuli za hewa, ikisababisha kuvunjika na kufyonzwa kwa sehemu ya mwanga. Hiyo inasababisha uoni wetu kupungua, haswa kwa distance kama Tz hadi Zanzibar.
Yes,.upo sahihi but conclusion kwamba Dunia sio tufe inatokana na logic apart from umbali tunaoweza kuona.Sasa mkuu kama unakubali kuna limited vision ya macho kwanini hufikiri kuwa hiyo weakness ndo inafanya usione umbali unaotosha kuonyesha umbile halisi la dunia?
Haiwezekani, lazima zile taarifa zitafunwe na kutolewa kwa mfumo wa picha ambao ubongo wako wewe au mimi mtu wa kaiwada unaweza kuelewa na device yako unayotumia inaweza kucapture.Animation haziwezi kukupa uhalisia wa jinsi objects zinavyo move exactly ,....hata NASA wanatumia animation lakini ndiyo hizo watu wanazi question kila siku.....watu wanataka picha halisia & not animations hasa kwenye zama hizi za GenZ.
Anga ni sehemu ya juu ya Dunia.....Boss, Anga ni nini kwa flat earth theory?
Mimi sijakubaliana na hoja yoyote ya kwako uliyoitoa ambayo hata hivyo haipo kuhusu mjongeo wa nyota.Sawa Ahsante Kwa kukubaliana kuhusu mjongeo wa Nyota nadhani hili limeisha sasa..... aione Chosen Rich
Vyema umetaja vimondo,na planets,mwezi.Ndiyo Nyota zipo ndani ya Anga ya Dunia....Kwa kukuwekea simple zaidi ni kwamba,.ukiweza kutoka mbali kabisa away from anga la dunia ambapo hakuna:-
1. Jua
2. Nyota, including the so called planets
3. Mwezi
4. Vimondo
Ambako ulidai kuna kuta za barafu au hapa bado hujazipita kuta hizo??Hapo ndiyo utakua umetoka nje ya Dunia sasa,...la sivyo utakua unafanya roaming humu humu kwenye anga
Hapana mkuu usifikirie kama kuku.wewe ni binaadam.Unaiona kwasababu Dunia ipo flat.,..ingekua haipo flat na kwamba kuna curvature,. Basi hata ungepanda kwenye floor ya mwisho ya Jengo la Bandari there's no way ungeweza kuiona Zanzibar.
Hii ni theory yako mpya,unaweza kutupa application yake au hata formular yake???Kinachofanya ushindwe kuiona Zanzibar ukiwa chini ni kutokana na obstacles & limited vision ya macho au camera inapokutana na hewa+maji(bahari), ukishaenda floor ya juu kabisa maana yake ume escape effect ya maji kwenye uoni wako so you can see far zaidi kutegemea na uwezo wa camera....Mionzi ya mwanga inaweza kugongana na chembe ndogo za maji na molekuli za hewa, ikisababisha kuvunjika na kufyonzwa kwa sehemu ya mwanga. Hiyo inasababisha uoni wetu kupungua, haswa kwa distance kama Tz hadi Zanzibar.
NASA wanashindwa kupiga picha halisi kutokana ukubwa wa scale ya wanachokichunguza.Animation haziwezi kukupa uhalisia wa jinsi objects zinavyo move exactly ,....hata NASA wanatumia animation lakini ndiyo hizo watu wanazi question kila siku.....watu wanataka picha halisia & not animations hasa kwenye zama hizi za GenZ.
Na sehemu ya chini inaitwaje??Anga ni sehemu ya juu ya Dunia.....
Simply we can say that "Sky is the roof of the earth" 💯
Let me guess, Nyota na hayo mengine yapo kwenye roof siyo?Anga ni sehemu ya juu ya Dunia.....
Simply we can say that "Sky is the roof of the earth" 💯
Tumekubaliana kwamba hakuna Mtu/taasisi yoyote inayojua jinsi Nyota zinavyojongea,...au umesahau kama umekiri mwenyewe hapa?Mimi sijakubaliana na hoja yoyote ya kwako uliyoitoa ambayo hata hivyo haipo kuhusu mjongeo wa nyota.
Huo ni msimamo wako ambao kimsingi unatokana na kudhania Tu,....Mimi msimamo wangu ni kwamba still sijui zinajongea vipi.Msimamo wangu ni kwamba nyota kila moja inafanya mzunguko wake kuzunguka black hole.sijui msimamo wako ni upi.
Ili uone object yoyote iliyopo kwenye anga la Dunia inategemea umbali, ukubwa wa hiyo object na Mwanga unaotokana na object husika...so vimondo havionekani mara Kwa possibly Kwasababu ya umbali,.size na Mwanga wake kuwa mdogo plus other factors mfano zinapoungua mwanga wake huwa mkubwa mpaka kuongeza visibility yake as seen from earth.....Kwa mujibu wa uelewa wako vimondo husababishwa na nini kuonekana ikiwa vimo ndani ya dunia tunaishi navyo na hatuvioni mara kwa mara??
Nyota zina Mwanga wake wa asili.Nyota zinatumia mwanga wake wa asili au zinaakisi kama mwezi??elezea kwa kuzingatia mtizamo wa dunia tambarare.
Kuna sehemu nimedai kuna kuta za barafu?Ambako ulidai kuna kuta za barafu au hapa bado hujazipita kuta hizo??
Wala sio theory yangu ni vile tu huna exposure,...Nenda kasome kitu kinaitwa "Mirage" ukirudi hapa utakua umeelimika.Hapana mkuu usifikirie kama kuku.wewe ni binaadam.
Tunajua huitaki wala huipendi physics lakini haina maana ugome kutumia na akili zako kabisa.
Hii ni theory yako mpya,unaweza kutupa application yake au hata formular yake???
Utafiti ndio vitu tunataka kaka safi sana.
Twende kazi.
Yap,. sahihi.Let me guess, Nyota na hayo mengine yapo kwenye roof siyo?
Tumekubaliana wewe na nani mkuu???mimi sijakwambia hayo maneno karudie kusoma.Tumekubaliana kwamba hakuna Mtu/taasisi yoyote inayojua jinsi Nyota zinavyojongea,...au umesahau kama umekiri mwenyewe hapa?
Ila unakubali zinajongea au hutaki kama zinajongea???Huo ni msimamo wako ambao kimsingi unatokana na kudhania Tu,....Mimi msimamo wangu ni kwamba still sijui zinajongea vipi.
Nipe tofauti ya vyote hivyo kwa mujibu wa dhana za flat earth,yaani nyota na vimondo.tofauti yake ni ipi??Ili uone object yoyote iliyopo kwenye anga la Dunia inategemea umbali, ukubwa wa hiyo object na Mwanga unaotokana na object husika...so vimondo havionekani mara Kwa possibly Kwasababu ya umbali,.size na Mwanga wake kuwa mdogo plus other factors mfano zinapoungua mwanga wake huwa mkubwa mpaka kuongeza visibility yake as seen from earth.....
Ambao unatokana na nini???kwa mujibu wa dhana yenu mana hamkubali kwamba jua ni nyota pia.Nyota zina Mwanga wake wa asili.
Labda umesahau mkuu.ukisema dunia ina kingo za barafu ktk miisho yake.Kuna sehemu nimedai kuna kuta za barafu?
Siwezi kukuzushia kitu sababu sio tabia njema.Au umeamua kuzusha Tu?