Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Wewe unafikiri naishi Karne gani?
Sijawahi kuona shirika lolote la watu wanaoamini Dunia ni flat wakafanya project kama hizi, Ila wanakuja na majibu mepesi tu [emoji28]
Your browser is not able to display this video.
 
Nenda katafute maarifa hata hivyo vifaa vinavyofanya kazi.

Hautakuja na swali la kitoto namna hii.
Hilo swali halina dalili yoyote ya kuwa swali la kitoto....

Nadhani ingefaa ukiri tu kwamba currently huna uthibitisho wowote wa kuzunguka Kwa Dunia,... you are just a blind believer.
 
Hilo swali halina dalili yoyote ya kuwa swali la kitoto....

Nadhani ingefaa ukiri tu kwamba currently huna uthibitisho wowote wa kuzunguka Kwa Dunia,... you are just a blind believer.
Uthibitisho utauona tarehe nane, Kaa tayari ikiwezekana andaa budget ukajifunze.


Clip hapo chini ndivyo itakavyokua hapo tarehe8
Your browser is not able to display this video.
 
Kwahiyo Dunia ndiyo ina move hivyo?


Hata kama unaamini CGI'S ila hiyo ni too much [emoji1373]
Basi tuelezee wewe mchakato mzima unavyofanyika mpaka jua linapatwa na namna ambavyo unaweza kufahamu siku tarehe na muda tukio litakapotokea ( Kwa nadharia yako ya Dunia ni tambarare ) ....

Tumia animation kuelezea
 
Basi tuelezee wewe mchakato mzima unavyofanyika mpaka jua linapatwa na namna ambavyo unaweza kufahamu siku tarehe na muda tukio litakapotokea ( Kwa nadharia yako ya Dunia ni tambarare ) ....

Tumia animation kuelezea
Sidhani kama animation itasaidia chochote hapa.... kimsingi hutakiwi kuchukulia animation kama fact 100%,. It's just an assumptions.
 
Sidhani kama animation itasaidia chochote hapa.... kimsingi hutakiwi kuchukulia animation kama fact 100%,. It's just an assumptions.
Labda nkuulize unaelewaje mtu akisema umueleze jambo linavyofanyika kwa njia ya animation ? Au achana na swali.

Haya basi kama umeshindwa kwa njia ya animation basi tuelezee hata kwa njia ya picha, Najua hiyo itakua rahisi kwasababu unaweza kuchora hapo kwenye karatasi utuonyeshe mechanism inavyokua.
 
hateeb10 Umekimbia mazima
Hapana,...nipo nasubiria ushahidi wa dunia tufe linalozunguka πŸ‘‰πŸΌπŸŒ.
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kutuambia ni Kwa namna gani Dunia ni Tufe na njia ipi hasa iliyotumika kupima au kugundua kwamba Dunia inazunguka.
 
Chosen Rich ..... Ushawahi Ku imagine the scenario ambayo mvua inanyesha upande mmoja wa Dunia Tufe & at the same time upande mwingine wa Dunia Tufe pia mvua inanyesha? πŸ‘‰πŸΌπŸŒ


Meanwhile,... Kwenye huu mtumbwi hapa chini ni watu wa Dunia Tufe wakisafiri miles na mile kwenye flattened earth kutafuta curvature juhudi ambazo mpaka Leo hazijafanikiwa.

 


Nmekuomba picha na maelezo kuhusu kupatwa kwa jua sijaiona hadi muda huu,

Ila picha ya watu wawili waliokosa akili wakasafiri na mtumbwi kutafuta mkunjo ndio umeweza kunitumia.


( Nmekuomba unipe maelezo ya kupatwa kwa jua ikiambatana na mchoro wa picha unaoelezea hatua kwa hatua jua linavyopatwa kwa nadharia ya Dunia ni flat ili nikuelewe vizuri )

Japo najua umewahi kutoa maelezo yako hapa kuhusu kupatwa kwa Jua/Mwezi.
 
Ok toka kigoma uende Dar es Salaam bila kurudi nyuma tuone kama utarudi/kufika kigomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yes sahihi,..Hii ishu ya kupatwa Kwa Jua nilishawahi kuelezea kiasi humu na nikasema kwamba Jua, Mwezi na objects nyingine zilizopo angani huwa zina move and that's why eclipses zinatokea endapo object mojawapo itapita mbele ya object nyingine hali inayopelekea Ku block mwanga wa object mojawapo kutufikia/kuonekana kwenye dunia yetu iliyotulizana.


Sioni haja ya kuingia deep,. nadhani imeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…